Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Kila nchi hupenda kuandaa mapokezi yenye burudani za kipekee, za ndani. Hilo ndilo huwa lengo la kwanza la burudani za mapokezi ya wageni wa kimataifa.Ndio kitu namwabiaga Mdakuzi
Zile ngoma huwa naona aibu sana!
Hoja iliyopo hapa, ni kwamba wao kwa kuwa hawaweki ngoma za asili kwa vile hawapendi au labda wamezichoka? Kwa matokeo ya utafiti upi labda?
Kwanini tusione kuwa, wao hawana aina nyingi za ngoma za asili kama sisi? Wao wana ukabila wanaogopa kutumia ngoma za kabisa A kwa kuwa watu wa kabila B watakasirika?
Ova