Kila nchi hupenda kuandaa mapokezi yenye burudani za kipekee, za ndani. Hilo ndilo huwa lengo la kwanza la burudani za mapokezi ya wageni wa kimataifa.Ndio kitu namwabiaga Mdakuzi
Zile ngoma huwa naona aibu sana!
Hapo ulipo umevaa nepiWewe na mwenzako hamna akili!!!
Gigy Mony anavaa kuwawakilisha michepuko tu.Tangu uanze kumshabikia Giggy Money, sishangai usipopenda magazine kama haya
Mpeni ukweli mama msiwe kama wale waliomsifia mfalme kwa kuvaa nguo transparent, aliyoshonewa na Abunuwasi enzi za Harun Rashid.Mama kapendeza sana na vizuri sana kama ilivyo kawaida yake kupendeza na kuvaa nguo zenye kuakisi nafasi ya Urais. Kwa hakika anatuheshimisha sana katika anga la kimataifa.
Jidu La Mabambasi mwenyewe kasema nae ni kifaduro wa mama, hapo ngoma draw.Ngoja aje yule kifaduro Lucas Mwashambwa akuparure
Wewe hata ukivalishwa dera kwenda kazini sawa tu!Usitusumbue
Fresh tuWewe hata ukivalishwa dera kwenda kazini sawa tu!
Muhimu zaidi ni standards!Fresh tu
Muhimu kujistiri