Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha makodinda makostamina
Kama hii uliyoleta ndugu. Maana utasikia wanaume wa Dar.Mmh story zipi mkuu
Wanatuponda sana wa mkoani. Tukiwajadili wasanii humuAhaa
Maana kidogo tu utasikia wanaume wa Dar haoHahaha ila slogan ya u mkoa na u dar ni kati ya vitu sivipendi sana
Ndio vizuri. Jf ina mambo mengiKweli kabisa kikubwa nachoshushukuru sijihusishi kabisa
Labda km ww ndio hujaulewa mfano wangu mkuu, unaposema marapa wa muda wote sijui km umeelewa, angalia Kendrick ana muda gani ktk game alafu uje uangalie 2pac alikaa muda gani kwenye game alafu uangalie na main point "muda wote" vivo hivyo angalia muda ambao wema amekuwa trending miaka yote alafu angalia na muda ambao gigy money amekuwa trending, japokuwa hii mada imetolewa 2016 pia wema ametrend kuliko gigy alafu wema anakosekana kwenye list mbele ya gigy, hapo ndo ukitaka kuelewa mfano wa Kendrick na 2pac unakuja vp, sijui km hukuelewa kweli au uliamua 2 kuni quote.Hahaha heshima kwa 2pac tena kubwa sana tamaduni ila kendrick lamar pia ni GOAT wa hiphop mfano wako hauna uhalisia.