Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

Warembo kumi wanaofatiliwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari Afrika mashariki

Hata mimi namchukia wema lakini hapo hapana kwa kweli, she deserves to be number one
1: Wema sepetu
2: Zari hassan
3: Lulu michael
4: Hamisa mobeto
5: Kajala
6: Aunty Ezekiel
7: Masogange
8: Tunda
9: Jokate
10 Huddah
 
Hii list ni sawa na ile iliyotolewa na bilbord katika marapa 10 bora wa muda wote alafu akakosekana 2pac shakur (wema) na kuwepo Kendrick Lamar (gigy money)
 
Hii list ni sawa na ile iliyotolewa na bilbord katika marapa 10 bora wa muda wote alafu akakosekana 2pac shakur (wema) na kuwepo Kendrick Lamar (gigy money)
Hahaha heshima kwa 2pac tena kubwa sana tamaduni ila kendrick lamar pia ni GOAT wa hiphop mfano wako hauna uhalisia.
 
Nimewaona wanaume wa mkoani kwenye huu Uzi aisee kumbe nao wapenda hizi stori
 
Mastaa wa leo sifa yao ngono, au ndio ukapuku!?
 
Hahaha heshima kwa 2pac tena kubwa sana tamaduni ila kendrick lamar pia ni GOAT wa hiphop mfano wako hauna uhalisia.
Labda km ww ndio hujaulewa mfano wangu mkuu, unaposema marapa wa muda wote sijui km umeelewa, angalia Kendrick ana muda gani ktk game alafu uje uangalie 2pac alikaa muda gani kwenye game alafu uangalie na main point "muda wote" vivo hivyo angalia muda ambao wema amekuwa trending miaka yote alafu angalia na muda ambao gigy money amekuwa trending, japokuwa hii mada imetolewa 2016 pia wema ametrend kuliko gigy alafu wema anakosekana kwenye list mbele ya gigy, hapo ndo ukitaka kuelewa mfano wa Kendrick na 2pac unakuja vp, sijui km hukuelewa kweli au uliamua 2 kuni quote.
 
Back
Top Bottom