Warembo wa Bukoba

Kumbuka hata anaekuruhusu kuandika haya ni muhaya!!! Kwa hiyo na yeye ni Malaya???

Mh Maxence Melo njoo ujionee mtu wako huku.
Mimi nimeishi nao natena wanapenda hizo ngoma zao ungekuwa jirani ningekuchezea ngoma zao na kuimba nyimbo zao.
Ila kweli hawajatulia jumla .
Mnaakili kweli darasani ila nyie kwa umalaya hatari mtu mjamzito unaliwa kama nini kama huna mtoto ndani na baada hii ni inshu.
 
Wamama walikuwa wanawafumania waume zao wengine ni wake zao hadi wanakitana kisu kwa wivu.
Hawa hata hawafichii kuwa ni malaya so msijishaue nitasema hadi nawapi nilikuwa nakaa nao .
So msijibizane na majirani walioshi na makabila ya mawili
 
Huwezi conclude tabia za watu wachache Kwa watu wote.kumbuka hata wahaya wanatofautiana tena Sana.

Kumbuka kuna mapadre, mashekhe,makardinali,maaskofu na wengine kibao kwenye kabila Fulani hivyo ukitukana kabila zima utaonekana mjinga na mpumbavu mwenyewe.

Kila kabila Lina mapungufu yake na mafanikio yake.lakini ndani ya kabila Hilo watu wanatofautiana tabia zao.
 
Wamama walikuwa wanawafumania waume zao wengine ni wake zao hadi wanakitana kisu kwa wivu.
Hawa hata hawafichii kuwa ni malaya so msijishaue nitasema hadi nawapi nilikuwa nakaa nao .
So msijibizane na majirani walioshi na makabila ya mawili
Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.
We umeishi na wahaya wote zaidi ya milioni nane? Hata mtu hawezi kukuelewa Kwa unachokiandika.

Unaandika kama mtu mwenye chuki binafsi sio kwa hoja zinazoeleweka
 
nilienda kikazi nilitakiwa nikae wiki niliishia kukaa siku 3, kazi ilikuwa ngumu kiasi ila nilikamilisha, siku ya kwanza hotel niliyofikia karibia na kivuko kule kulia kwa barabara kuna club moja hivi wenyeji wangu saa mbili usiku walimtuma binti wa below 20 aje na hotpot la senene na ugali kidogo kaveshwa mavazi ya kitenge yamemkaa vyema, nilimwambia weka hapo wewe nenda nyumbani kapumzike uje asubuhi kutoa vyombo, alinijibu nimeambiwa nisirudi nyumbani mpaka wewe utakapoondoka.. nilichoka sana. ni mji wa kawaida wenyeji ni wakarimu sana
 
Wewe mwenyewe unatoka pande zipi za Tz??
 
Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.
We umeishi na wahaya wote zaidi ya milioni nane? Hata mtu hawezi kukuelewa Kwa unachokiandika.

Unaandika kama mtu mwenye chuki binafsi sio kwa hoja zinazoeleweka
Chuki acheni umalaya nyie ni malaya tena ni asili yenu .
Mtu mjazimto anagawa kama pipi kijiti au michele ya bure hadi kunasiku kagusiwa mtoto watu wamkimbiza hospitali nakuambiwa ache mastaili ya hovyo ataharibu mtoto.
Namumewe wala hamgusi .
Unakuta mwanaume anawake wengi hadi unaogopa utazania wakala wa mpesa au tigo.
Acheni umalaya jaribuni kutuliza hivyo vikojoleo vyenu.
 
Umenikumbusha miaka kama 5 imepita kuna binti jirani tulipo wife alikuwa anamsifia kwa uzuri na tabia akipita tupo nae lazima amsifie, kidume nikawa namkata jicho tu kilichotokea ni kumgegeda.
Hakuna asiyependa binamu. Hivi kwa nini huwa mnadhani sisi hatuwezi kuosha macho kwa wanawake wenzetu aisee
 
Wahaya M8? Na wasukuma watakuwa M ngapi? We nyie ni kama M2.3 hivi
Mkuu ukiandika haya unaonekana mjinga na mpumbavu na pia mtu mwenye IQ ndogo.
We umeishi na wahaya wote zaidi ya milioni nane? Hata mtu hawezi kukuelewa Kwa unachokiandika.

Unaandika kama mtu mwenye chuki binafsi sio kwa hoja zinazoeleweka
 
Mkikarimiwa mnalalamika, sasa watani zangu (Wahay) hafanyeje? We umeletewa kumbatio hafu unashangaa.
 
Watu wanawasema Wahaya, kwa uzoefu wangu Makabila ya mikoa ya Ruvuma, Njombe, Mbeya, Songwe ni hatari, kule ndo mapenzi hayana aibu na mimba za utotoni na ndoa za vijana wadogo ni nyingi sana.
Nawapongeza wanawake wa Kihaya kwa kutoa mechi kwa wahitaji maana wamepunguza ubakaji.
 
Ok

Ila kaa ukijua jamii kubwa ya kihaya ni Catholics.( Ndo maana majina Yao huishia na us) hivyo ni jamii ya kuoa mke mmoja Tu wa ndoa.

We kama unachuki nao nakutakia chuki njema mama.
Anyway Mie ni mtutsi nawatetea Kwa sababu nawafahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…