Warembo wa Bukoba

Warembo wa Bukoba

Chukua mshamba number 1 wa Kagera na mjanja number one wa Moro waweke eneo moja la jiji kali ambayo wote sio wenyeji.

Rudi baada ya mwaka kuwaona. Umewahi kujiuliza kwa nini matapeli wengi ni Wahaya?. Na unakuta kaja mjini ashakuwa mkubwa.
Na wanawatapeli hao hao wajanja.
Mi siwezi tapeliwa na mtu kutoka kyamulaile huko 😂 😂 😂
 
Hiyo Maruku Beach inasifiwa sana...

Ni mwendo wa km ngapi kutoka Bk mjini?
Maruku beach 5 km from town centre
images%20(33).jpeg
 
Mkuu hakuna kitu...niamini mimi...wahaya huwa wanawasumbua watu ambao hamjawahi fika bukoba but kama unaijua vizuri bukoba wahaya hawawezi kukusumbua
We unamwambia nini huyo? Wakati ni muhaya na yeye?


Watu wanakushangaa tu
 
Vijiji vyao gani hizo? mtu anapokwambia anaishi kwenye nyumba ya gorofa na ana magari 9 alafu unaenda kwake unakuta anaishi kwenye nyumba ya vyumba vitatu na anamiliki gari moja ya kutembelea ...huyo mtu unamwelewaje?
Sasa huoni kwamba huyo ni muongo!!!

Mie naongelea ninayoyashuhudia huko uhayan
 
Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8.

Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali.

Pia wapo Wanyakore ambao ni wazuri sana wengi wao ni weusi kwa mbali ni maji ya kunde.

Wahaya pia ni wazuri sana..Bukoba unakuta binti ni beki tatu lakini ni mzuri sana unakuta wengi wanao kuja huku upenda kufukuzia beki tatu kuepuka gharama.

Warembo wa hapa wengi wanapenda kuishi maisha ya kujitegemea hii inatokana wengi wameenda shule asa hawa ambao ni wahaya asilimia mia.

Wengi wanapenda kuolewa na wahaya wenzao hawapendi shida. Wana akili za maisha ni watafutaji wazuri wa hela ukifika Bukoba utakuta biashara kubwa wanamiliki wao.

Wanapenda kuzungumza kihaya hata hawe amesoma vipi au hawe mrembo kiasi gani hii inatokana na wahaya kukipenda kihaya sana.

Wengi wanapenda sana Kampala na shopping nyingi wanapenda kufanyia huko..Kama una swali uliza
Ohhhk,hata yale mashati enzil zile maarufu kwa jina Juliana walikuwa wakiyanunua Uganda?
 
kweli nimesoma coment zako zote za juu,.nimegundua hamna kitu kichwani zaidi tu manenomaneo matupu yasiyokuwa na faida hata kwako pia. Nahisi hili watu wengi wamegundua ila kukwambia wanaanzaje sasa?,maana wataambulia za uso kwa matusi na uongouongo husio na fact hata punje moja angalau watu wajifunze basi kutoka kwako.
Yaani inaonyesha wewe ni asili ya wahaya full stop .
Madharau
Mnajishaua
Mnajiona nyie ndio mpo juu kumbe maboya tu.
Elimu ya wizi ndio mnayo
So jibebe
 
Bukoba balaaa nilikua naona senene Ni wadudu wachafu. Ila nilipofika BK nilipelekwa sokoni nikanunua senene kwa hela yangu nikalostiwa wacha wee utamu wake mpaka leo nawagonga vizuri Sana BK balaa so mchezo
 
Bukoba balaaa nilikua naona senene Ni wadudu wachafu. Ila nilipofika BK nilipelekwa sokoni nikanunua senene kwa hela yangu nikalostiwa wacha wee utamu wake mpaka leo nawagonga vizuri Sana BK balaa so mchezo
Umekuwa mdau senene ni watamu hawakinaishi
 
Back
Top Bottom