Lol!Mm ni mmojawapo niliyekuwa nafatilia kombe la dunia kimya kimya sema hawa wachezaji walinikosha sanaa
N'golo kante
Mbappe
Salah hubby
Huyu Ronaldo na Messy huhuuuu pole yao.
Huyu mchezaji wa Man u mzee wa kubadilisha mitindo ya nywele naye alinivutia sana anaitwa POGBA kama sikosei nilimpenda sana.
Mrs Jr Mganga.