Warembo wa JF, ulivutiwa na mchezaji gani kwenye kombe la dunia 2018?

Warembo wa JF, ulivutiwa na mchezaji gani kwenye kombe la dunia 2018?

Muzine

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2017
Posts
32,366
Reaction score
60,453
Mm ni mmojawapo niliyekuwa nafatilia kombe la dunia kimya kimya sema hawa wachezaji walinikosha sanaa


N'golo kante

812477


Mbappe

ATTACH]



Salah hubby

ATTACH]



Huyu Ronaldo na Messy huhuuuu pole yao.


Huyu mchezaji wa Man u mzee wa kubadilisha matokeo naye alinivutia anaitwa FINN kama sikosei nilimpenda sana.


Mrs Jr Mganga.
 

Attachments

  • image_search_1531914475747.jpg
    image_search_1531914475747.jpg
    44 KB · Views: 52
  • image_search_1531914539660.jpg
    image_search_1531914539660.jpg
    23.5 KB · Views: 17
  • image_search_1529475284370.jpg
    image_search_1529475284370.jpg
    54 KB · Views: 17
Mm ni mmojawapo niliyekuwa nafatilia kombe la dunia kimya kimya sema hawa wachezaji walinikosha sanaa


N'golo kante

ATTACH]



Mbappe

ATTACH]



Salah hubby

ATTACH]



Huyu Ronaldo na Messy huhuuuu pole yao.


Huyu mchezaji wa Man u mzee wa kubadilisha mitindo ya nywele naye alinivutia sana anaitwa POGBA kama sikosei nilimpenda sana.


Mrs Jr Mganga.
Lol!
 
Back
Top Bottom