Warembo wa JF...

You are just a little boy who is bothered about pimples on a lady's face.

Halafu unadhani baibui ni kwa ajili ya kuficha some imperfections?

You are so dumb and naive. Hope jeshini will do you some good.
Mkuu ndio maana nikamuuliza age yake kwqnza ana miaka mingapi maana anaonekana ni mtoto kwanzaa...
 
Mzee hujakutana na vitu wewe.. Acha kujifariji!! Au mzee nyie ndo wale mnapita popote? Hapana!!
 
Hivi unahisi wakisoma hili bandiko watajiskiaje? Hadi unasema wana chunusi za wazi sijui, sasa kuwa na chunusi ni kukosa kujitibia? Umejuaje wewe kwamba hawajaribu kujitibu labda imeshindikana? Kwanini uchangamshe jukwaa na story za kuwasema watu ? Hamna stories zingine za kuchangamsha?
 
Hii coment itakupa demu humu. Ulete mrejesho.
 
Binafsi nimekuelewa Mkuu! 🙌🏽
 
You are just a little boy who is bothered about pimples on a lady's face.

Halafu unadhani baibui ni kwa ajili ya kuficha some imperfections?

You are so dumb and naive. Hope jeshini will do you some good.
Mbona mnatumia nguvu hivyo? Vichunusi kuna asiyevijua? Mimi ndiye niliyeona.. I am the subject.. Nyie wengine mnaweka theories!! Hapo sijaingia kwenye namna ya kuzungumza.. Na mengineyo..

Mnisamehe jamani, acha tupumzishe miili tayari kwa siku nyingine
😴😴😴😴
 
Idiot.
 
I am more than a mature man.. Nawaheshimu sana wanawake.. Sana kupita maelezo.. Lkn hainizuii kuzungumza!!

Kwanza ndio maana nimekuja na userID tofauti ili kuwasitiri, cz ndani ya miezi 18 iliyopita ni wangapi humu mmeonana na wa humu?
Aargh we kubali tu uzi wako umezingua bana, eti hadi ana chunusi hivi mwenye chunusi si atakua ameelewa ni yeye ndiye aliyeonana na wewe kichwa maji umekuja kumsema humu. Nyie ndo Mnafanya tuwe wazitoo hata kuonana na watu potential kwa utoto kama huu😏
 
Afu ukute na kenyewe kapo kama karunguyeye.

Huyu mnyama nimejua kupitia sredi ingine na nikasema leo akikatiza mtu na sredi ya kiboya namuita karunguyeye.

So there you are Mkuu K.Y.
Naomba nianze na huyu,she's beautiful n very good upstairs!! Wazungu wanaita beauty with brain!!
Tatzo la mleta mada anatafuta wanawake mitandaoni...
 
Rejea uliponinukuu nikiongelea suala la chunusi..
 
What happened in Vegas stays in Vegas..
When you build in silent peoples won't know where yo attack for your Demise.
I do hope this shall ring a bell to you!
Vyovyote vile.. Lkn wanatakiwa kufanya homework yao vema.. Feedback ni muhimu.
This is their feedback.. Ofcz, it is my feedback as well!
 
Nakubali.. I may be an idiot, lkn najua kila mmoja amejionja.. Do your homework!
Homework? Why would I want to meet some people I got acquainted with online then diss them about their natural flaws because they did not meet my expectations?

Point to note, Not maybe, you are the exact definition of an idiot.
 
Kha mbombo 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…