Warembo wa JF...

Kweli mkuu. Assumptions zetu ni kuwa wana jf wote:
Wanakaa Dar tena Mbezi Beach,
Wana magari mazuri,
Wana kazi nzuri na mishahara juu,
Wako beautiful na mahandsome..


Sasa subiri ukutane nao ndio utajui hujui!
 
Usilazimishe mimi niwe kama wewe. Nimeachana sana na wanawake warembo wa sura kwa maana wana maneno machafu sana na mimi nina hasira za karibu nikitukanwa na mwanamke ningeweza kuwavunja taya. Wewe baki kama ulivyo.
 
Usilazimishe mimi niwe kama wewe. Nimeachana sana na wanawake warembo wa sura kwa maana wana maneno machafu sana na mimi nina hasira za karibu nikitukanwa na mwanamke ningeweza kuwavunja taya. Wewe baki kama ulivyo.
Usichokielewa ni kuwa wewe unaleta habari za kujifariji mimi naongelea silika na uhalisia.

Nilichofundishwa ni kuwa yule ambaye haitaki haki siwezi kumfanya aikubali haki,hivi ndivyo nilivyo mimi.

Huwezi shindana na ukweli lazima uumie.

Kazi yangu nimemaliza.

Tuko pamoja.
 
Kweli mkuu. Assumptions zetu ni kuwa wana jf wote:
Wanakaa Dar tena Mbezi Beach,
Wana magari mazuri,
Wana kazi nzuri na mishahara juu,
Wako beautiful na mahandsome..


Sasa subiri ukutane nao ndio utajui hujui!
Sure!

Kuna siku nilipanda bus,hizi Mwendokasi nikawa nimesimama as you know macho hayana pazia yupo jamaa mmoja alikuwa amekaa mbele yangu bahati mbaya macho yangu yakatua kwenye kioo cha simu yake,jamaa alikuwa ndani ya JF tena alikuwa ana-type kitu so sometimes alikuwa anaongopa kwa wanajamvi yupo Dubai au USA,nani angekataa?

Na ni mtu wa kawaida sanaa kwa kumuangalia ila ndo tunasema hatuwezi kujuana kwa maandishi yetu humu watu wawe huru vibaya kama anataja mtu jina kama hakutaja mawazo yake yaheshimike.
 
Usilazimishe mimi niwe kama wewe. Wewe baki kama ulivyo na mimi niwe hivi hivi ndio maana kuna Simba na Yanga.
 
Karucee[emoji4].. Hiyo ni mada ya siku nyingine.. Leo inawahusu nyie. Ebu niulize swali dogo, mrembo wa jf unashindwaje kutibu maupele ya sehemu za wazi? Basi si ajitande na baibui? Am sorry lkn..

Aisee[emoji706]
 
Ukiwa na device moja rahisi kudakwa na mods. Ila kama mtu ana simu janja mbili na laptop moja hapo kila device itakuwana id yake ya jf.
Sasa all that for what?

What are you hiding from?

Mi nitabakigi Karucee huyu huyu. If I make sense fresh, if I don't bangi zishanibangua fresh tu... I will just be me.

Lol. πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ€­πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
hivi kwa nini uanzishe mada ya kujeruhi wengine???..si muongelee kuhusu sisimizi,ngedere.buibui,mchele,kuku kishingo kama mmekosa cha kuongea.....??????lol
Dah. 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Usitupeperushie ndege maana nilipanga mwakani nianze kutumia PM maana nasikia kuna kitu kinaitwa PM.
 
Kwahiyo sisi wa kawaida tunatakiwa tuandike mwandiko unaopandiana au ili tusiwe feki tuwe real?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan nimecheka mbavu sina lol.
 
Mkuu ni kweli alicho kisema Lizzy yaani unakuja kumuweka humu wakati yeye mwenyewe fake dah
 
Kweli mkuu. Assumptions zetu ni kuwa wana jf wote:
Wanakaa Dar tena Mbezi Beach,
Wana magari mazuri,
Wana kazi nzuri na mishahara juu,
Wako beautiful na mahandsome..


Sasa subiri ukutane nao ndio utajui hujui!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…