SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Kweli mkuu. Assumptions zetu ni kuwa wana jf wote:Hii mada nyepesi sana kuielewa ila naona vijana mnacharuana humu bila sababu za msingi,mie nadhani mkuu hapa alikosea kufananisha u-smart wa mtu kwenye hoja na maandishi yao hapa na kwenye muonekano halisi.
Yeyote humu anaweza kuwa kwenye situation hii even me....anaweza mtu kuniona hapa nipo smart sana kwenye hoja zangu ila siku akiniona uso kwa macho atashangaa siye yule aliyetegemea so hajatukanwa mtu wala hajatajwa mtu kuweni watulivu.
Wanakaa Dar tena Mbezi Beach,
Wana magari mazuri,
Wana kazi nzuri na mishahara juu,
Wako beautiful na mahandsome..
Sasa subiri ukutane nao ndio utajui hujui!