Warembo wa JF...

Warembo wa JF...

Salaam!!
Natumia hii account kwa mara ya tatu leo kwasababu maalum..

Mada yangu leo inawahusu warembo wa JF, jamani huu ukurasa hauna warembo wazuri?
Nimebahatika kufahamiana na kukutana na watatu ndani ya miezi kama 18 iliyopita..

Kiukweli tuliishia tu kupiga story mbili tatu, hata urafiki wetu ukaishia.. Maandishi yetu na anonymity plus qualities tunazopresent kwa story zetu ni tofauti kabisa na tunavyoonekana..

Ni vema tuwe real tu kwakweli.

BTW, naongelea ukawaida wa mwanadada, siyo urembo.. Niliobahatika kukutana nao ni below par kwa ukawaida.

Anyone to prove me wrong?

Sidhani kama huu uzi unahitaji povu

Adios!!
Mleta mada sijui maada unataka kutuharibia, stop that.
 
Mbaya kwako ila mzuri kwa mwingine. Kumbuka sio kila mwanaume anapenda mwanamke kama Hamisa Mobeto kwa ajili ya show off za mtaani, wengine kama mimi tunapenda maneno mzuri kutoka katika kinywa cha mwana-mama baaas hata kama sio mrembo kabisa.

Kuna mwanaume anapenda maonyesho kwamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.

Bora hata na sie wabaya tumepata hope
 
Sasa sindo hivyo Mkuu, uzuri upo kwenye jicho la muonaji! Na ndivyo hivyo, kwake ni zaidi ya alivyotegemea. Yaani kwa viwango vyake ni zaidi yaa!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Hakika binadamu hatufanani mkuu
 
C46C2FFF-3D1F-48F0-8AD9-4B96314DFD3A.jpeg
 
Mimi Carlos The Jackal , pamoja na mambo yangu mengi weeee ila kutoka ktk Purkinje fibers za Moyo wangu na Hippocampus ya Kichwan mwangu.

[emoji116][emoji116]
Nmefanikiwa kuonana uso kwa uso, au kupitia picha na wanawake wa humu kadhaa.
Wadada warembooo, wasafiiii, wanajipendaaaaa, Sura nzur na kikubwa ni mashape yao.


Ndugu Mtoa mada na ndugu Msomaji na mfatiliaji wa komenti zangu.


Mimi Carlos ,nina akili timamu, aminin nawambia, JF inamapini kwelikweli ,JF ina warembo sanaaa

Yaan unamuona mwanamke , unamuuliza, Umetoroka mbingun??? Maana she is just an Angel , so Perfect,Smart and Sexy





Ningewataja kwa majina, ila kwakua ndugu wasomaji wangu, akili zenu zoteee mkiona ID yangu mnawaza masihara, basi hata nikiwataja, akili zenu zitawaza ujinga[emoji23][emoji23]

Siwataji ng'ooo .
 
Hii mada nyepesi sana kuielewa ila naona vijana mnacharuana humu bila sababu za msingi,mie nadhani mkuu hapa alikosea kufananisha u-smart wa mtu kwenye hoja na maandishi yao hapa na kwenye muonekano halisi.

Yeyote humu anaweza kuwa kwenye situation hii even me....anaweza mtu kuniona hapa nipo smart sana kwenye hoja zangu ila siku akiniona uso kwa macho atashangaa siye yule aliyetegemea so hajatukanwa mtu wala hajatajwa mtu kuweni watulivu.
 
Yote ya nini haya?

Mbona huyo mwenye mada yake hakumtukana mtu?tatizo la kupenda kusikia kile unachopenda wewe ndo hivi unafikia kununua case wakati hujatajwa kwamba wewe ni mmoja wa hao wenye chunusi unless useme na wewe umo!
 
wamba ana demu mkali ila wengine tunapenda utulivu wa nafsi basi na sio kujionesha facebook na Instagram.
Chief mbona unajifariji na kupotosha uhalisia ?

Hakuna mtu asiye penda kizuri na chenye kutuliza jicho lake. Kadhalika uzuri si wa sura tu,ila sharti uwe umempenda na anakuvitia.

Mathalani mimi napenda kizuri lakini kwa ajili yangu mimi peke yangu na si kwa ajili ya show off,sababu unaweza kuishi na mimi na ukawa rafiki yangu ila mke wangu usi mjue. Kwahiyo tusiwe waongo katika hili na kujifariji.
 
Back
Top Bottom