Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Waarabu ama na wapemba?
 
We umepotea njia ,hivi dunia ya Sasa hivi watu bado tu mnahangaikaga na waarabu...pole Yako,utakujaga kubeba na waarabu walioshindikana ,mwisho watoto Wana inherit tabia za ajabu ajabu
 
Utawaweza ?

Mboga 7 wale,

Na sio ulete Habari zako na mboga moja Eti wali maharagwe au ugali dagaa !


Na wageni kama wote na wakija wanatakiwa kula vitoweo vya kila aina [emoji108][emoji108]

Hawaelewagi lugha za kuluzu wale!

Kwa hiyo ujipange !


Uchumi wako usiwe wa mawazo na mashaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…