Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Warembo wa Kiarabu, wanapatikana wapi?

Hatari sana kwa kweli, Unakua Raisi wa JMT unalitafuta kama hili ndie linakua First Lady, yule uliotoka nae kijijini unampumzisha kwa muda.
Ni dhambi kubwa mno. Yaani mtu kasota na wewe kwenye shida na raha then unakuwa Rais unam ditch? Na ndiyo maana wanawake hawawaamini wanaume kwa tabia za kisenge kama hizo. Ni ufala wala siyo ujanja.
 
Ni dhambi kubwa mno. Yaani mtu kasota na wewe kwenye shida na raha then unakuwa Rais unam ditch? Na ndiyo maana wanawake hawawaamini wanaume kwa tabia za kisenge kama hizo. Ni ufala wala siyo ujanja.
Haiishii kwenye dhambi..mzee unapata...Laana
 
Toka nikiwa mdogo nilikuwa navutiwa sana na wadada wa kihindi niliokuwa nawaona kwenye muvi za kina Sharukh khan.

Kasi iliongezeka zaidi nikiwa sekondari nilipokuja kuishi magomeni studio karibu na nyumba moja ya wahindi... Kuna mtoto alinichanganya sana mpaka nikahisi kutetereka kimasomo. Mpaka anakuja kuhama sijawahi hata ongea naye 😅...

Sasa umri wa kuoa umefika na kila nikijaribu kuwaza mwenza wa kuwa naye mawazo yanaishia kwa watoto wa kihindi au kiarabu.... Hivi kwa hapa bongo ni wapi wanapatikana kwa wingi?

Msaada wenu jamani... Nipo serious 😑
 
Nenda Tandahimba, Mwanza pasiansi, Kigoma, au hata waarabu wa Dodma,lkn waarabu Dar Ilala,Tanga Raskazoni au Unguja hurambi kitu, hao ni very classic kama una hela ya kikokotoo utakufa kwa stress,

My take:Tafuta wa dini yako mlio share kabila na tamaduni, utakuja kunishkuru
 
Back
Top Bottom