Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Queen Elizabeth mrambaElizabeth mramba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Queen Elizabeth mrambaElizabeth mramba
Ni zawadi ndiyo ila wakati mwingine huwa inalazimika kuendana na mhusika anayotolewa mahari. Anapokuwa exceptional sana, na mahari nayo inakuwa exceptional. Halafu yuko smart kichwani hakuna mfano. Jana kipindi cha saa 2 alikwa anahojiana na mgeni kuhusiana na mambo ya akiba, walikuwa wamemkaribisha studio. Kuna swali alikuja akampiga, nikajua kuwa huyu mtoto ana elimu kichwani, yaani kasoma na akaelimika. I like smart people. Kiko smart sana hiki kitotoMahari siyo malipo ni zawadi.
Unajipangiaje zawadi ?
Yupo ila siku hizi simuoni akitangaza sana, Anna Mwasyoke amechukua nafasi, Asha Hajji nina mfananisha Zuhura Yunusi wa BBCNafikiri alikuwepo TBC taifa toka 2010 miaka hiyo bado TBC ina la maana la kusikiliza.
Miaka nane sasa sijawahi kusikiliza hii radio sijui kama bado yupo huyu mrembo.
🙄Basi nikuone tu nisuuze macho
Mkuu, Mahari ni mali inayotolewa na mwanaume pindi anapokwenda kuchumbia. Mali hiyo yaweza kuwa pesa taslimu au mnyama wa kufugwa anayetumiwa na binadamu kama kitowewo. Miaka ya zamani MAHARI ilikuwa nilazima na heshima kwa wakwe zao. Kwa baadhi ya makabila sio lazima kumaliza kulipa kiwango chote utakachoambiwa waweweza kuweka KIPORO (wengine wanaweka kiporo hadi mhusika anafariki na siku ya mazishi kasheshe)na makabila mengine lazima umalize kulipa.Mahari siyo malipo ni zawadi.
Unajipangiaje zawadi ?
Tuanze na ww hio avatar umeomba ruhusa kwa mwenye nayo ukiwa star watu lazima watatumia tu picha yakoHivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
Mkuu mimi ni muumini wa mahari hoja yangu ilikuwa kwa yule bwana pale kutaka atoze ng'ombe 100 na zikikosekana basi binti asiolewe hii ingegeuza mahari kuwa malipo na siyo zawadi.Mkuu, Mahari ni mali inayotolewa na mwanaume pindi anapokwenda kuchumbia. Mali hiyo yaweza kuwa pesa taslimu au mnyama wa kufugwa anayetumiwa na binadamu kama kitowewo. Miaka ya zamani MAHARI ilikuwa nilazima na heshima kwa wakwe zao. Kwa baadhi ya makabila sio lazima kumaliza kulipa kiwango chote utakachoambiwa waweweza kuweka KIPORO (wengine wanaweka kiporo hadi mhusika anafariki na siku ya mazishi kasheshe)na makabila mengine lazima umalize kulipa.
MAHARI kwa baadhi ya familia nasema familia kwani watu wasijechanganya na kabila. Kwa baadhi ya familia hawaoni umuhimu wake wana tafsiri kama ni malipo ya kumuuza binti yao. Huo ni mtazamo tu!! Binafsi nadhani MAHARI ni vyema iendelee kulipwa lakini iwe inafanyiwa marekebisho kulingana na wakati. Miaka ya nyuma kuna makabila yalikuwa yanatoa hata ng'ombe 50 na zaidi, nyumba, pesa taslimu kiasi kikubwa lakini ukweli ni kwamba hali ilikuwa inaruhusu. Kwa miaka ya sasa ni vyema wazee wa mila na koo watambue kuwa hali ya kipato cha vijana wa siku hizi sio kama zamani hiyo wapunguze idadi ya madai.
Nuksi nyingi zinatawala ndoa za vijana wengi kwa sababu ya kukimbia mila na desturi ndogo ndogo, kwa mtazamo wangu yaweza ikawa sio tatizo la vijana bali ni wazee wasiokuwa na tabia ya kutuelimisha kuhusu mila zetu.
Mkuu, Tatizo la watu wengine wanafanya mahari kama ni mradi. Mahari inatakiwa kuwa ni kitu kidogo tu kama visenti (sio vya Chenge 😀) au mkufu or something small. Sio Mamilioni na Mamia ya ng'ombe kama vile wanavyofanya baadhi ya ndugu zetu. I mean, vyema kama inawafaa wao. Haitakiwi kuwa kiasi kikubwa mpaka kesho na kesho kutwa unanyanyasiwa.Mkuu mimi ni muumini wa mahari hoja yangu ilikuwa kwa yule bwana pale kutaka atoze ng'ombe 100 na zikikosekana basi binti asiolewe hii ingegeuza mahari kuwa malipo na siyo zawadi.
Changamoto ya sasa vijana wanajiozesha wenyewe wakati zamani walikuwa wanaozeshwa na wazazi wao ndiyo maana hali kama hizi zinatokea.
"Wajomba wamechacha wamekuja juu harusini.... wapi mahari mobna sisi hatujapata." Mbaraka Mwinshehe aliimba huo mwimbo. Hata huku US wanazimia mila zetu. For instance Hillary Clintons book is titled "It take a village to raise a child." Amepata ukweli huo toka katika mila zetu. Mila zetu wajomba wana nguvu kwani wanawakilisha upande wa mama zetu ili kuendeleza ukoo na kutambuana generations to come. Kwangu mimi ''Mahari'' ni kama sacrifice u make to adhere to the oath u make on ur matrimony na vilevile ni religious or more of spirititual ritual.Mkuu mimi ni muumini wa mahari hoja yangu ilikuwa kwa yule bwana pale kutaka atoze ng'ombe 100 na zikikosekana basi binti asiolewe hii ingegeuza mahari kuwa malipo na siyo zawadi.
Changamoto ya sasa vijana wanajiozesha wenyewe wakati zamani walikuwa wanaozeshwa na wazazi wao ndiyo maana hali kama hizi zinatokea.
Elizabeth Mramba kuna kitabu kaandika kinaitwa "MTUMWA KWENYE NCHI HURU"Sawa.
Sawa. Tunaomba majina ya vitabu alivyoandika tafadhali ili tuweze kuvifuatilia
Jane John fundi wa michezo yupo gudWeka Na Warembo Kama Anna Mwasyoke Na Jen John
wana wivu kwa nini wasi appreciate ufundi wa Mungu Eliza ni kifaa si mchzeoWeweeee Eliza hana mtumbo mtoto yuko slim.
Au unataka nikutajie na Gym anayoenda, nenda akakushonee kasuti dukani kwake alafu umtazame hana hata doa na ana watoto.
.
Wewe unao kweli?
Eliza is beautiful than you!
Vyombo fulani vilivyo tengenezwaSiku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Hahah,,Iselàmagazi ni Shinyanga eeh?Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
Nope!Hahah,,Iselàmagazi ni Shinyanga eeh?
Au akuoe ww kama upo tayari!Hapo lily ommy kaboronga Bora angeoa kifaa hicho Cha kwanza ndio ingekuwa poa.