Warembo wa TBC

Warembo wa TBC

Mahari siyo malipo ni zawadi.

Unajipangiaje zawadi ?
Ni zawadi ndiyo ila wakati mwingine huwa inalazimika kuendana na mhusika anayotolewa mahari. Anapokuwa exceptional sana, na mahari nayo inakuwa exceptional. Halafu yuko smart kichwani hakuna mfano. Jana kipindi cha saa 2 alikwa anahojiana na mgeni kuhusiana na mambo ya akiba, walikuwa wamemkaribisha studio. Kuna swali alikuja akampiga, nikajua kuwa huyu mtoto ana elimu kichwani, yaani kasoma na akaelimika. I like smart people. Kiko smart sana hiki kitoto
 
Nafikiri alikuwepo TBC taifa toka 2010 miaka hiyo bado TBC ina la maana la kusikiliza.
Miaka nane sasa sijawahi kusikiliza hii radio sijui kama bado yupo huyu mrembo.
Yupo ila siku hizi simuoni akitangaza sana, Anna Mwasyoke amechukua nafasi, Asha Hajji nina mfananisha Zuhura Yunusi wa BBC
 
Mahari siyo malipo ni zawadi.

Unajipangiaje zawadi ?
Mkuu, Mahari ni mali inayotolewa na mwanaume pindi anapokwenda kuchumbia. Mali hiyo yaweza kuwa pesa taslimu au mnyama wa kufugwa anayetumiwa na binadamu kama kitowewo. Miaka ya zamani MAHARI ilikuwa nilazima na heshima kwa wakwe zao. Kwa baadhi ya makabila sio lazima kumaliza kulipa kiwango chote utakachoambiwa waweweza kuweka KIPORO (wengine wanaweka kiporo hadi mhusika anafariki na siku ya mazishi kasheshe)na makabila mengine lazima umalize kulipa.

MAHARI kwa baadhi ya familia nasema familia kwani watu wasijechanganya na kabila. Kwa baadhi ya familia hawaoni umuhimu wake wana tafsiri kama ni malipo ya kumuuza binti yao. Huo ni mtazamo tu!! Binafsi nadhani MAHARI ni vyema iendelee kulipwa lakini iwe inafanyiwa marekebisho kulingana na wakati. Miaka ya nyuma kuna makabila yalikuwa yanatoa hata ng'ombe 50 na zaidi, nyumba, pesa taslimu kiasi kikubwa lakini ukweli ni kwamba hali ilikuwa inaruhusu. Kwa miaka ya sasa ni vyema wazee wa mila na koo watambue kuwa hali ya kipato cha vijana wa siku hizi sio kama zamani hiyo wapunguze idadi ya madai.

Nuksi nyingi zinatawala ndoa za vijana wengi kwa sababu ya kukimbia mila na desturi ndogo ndogo, kwa mtazamo wangu yaweza ikawa sio tatizo la vijana bali ni wazee wasiokuwa na tabia ya kutuelimisha kuhusu mila zetu
.
 
Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
Tuanze na ww hio avatar umeomba ruhusa kwa mwenye nayo ukiwa star watu lazima watatumia tu picha yako
 
Mkuu mimi ni muumini wa mahari hoja yangu ilikuwa kwa yule bwana pale kutaka atoze ng'ombe 100 na zikikosekana basi binti asiolewe hii ingegeuza mahari kuwa malipo na siyo zawadi.

Changamoto ya sasa vijana wanajiozesha wenyewe wakati zamani walikuwa wanaozeshwa na wazazi wao ndiyo maana hali kama hizi zinatokea.
 
Mkuu, Tatizo la watu wengine wanafanya mahari kama ni mradi. Mahari inatakiwa kuwa ni kitu kidogo tu kama visenti (sio vya Chenge 😀) au mkufu or something small. Sio Mamilioni na Mamia ya ng'ombe kama vile wanavyofanya baadhi ya ndugu zetu. I mean, vyema kama inawafaa wao. Haitakiwi kuwa kiasi kikubwa mpaka kesho na kesho kutwa unanyanyasiwa.
 
Mkuu mimi ni muumini wa mahari hoja yangu ilikuwa kwa yule bwana pale kutaka atoze ng'ombe 100 na zikikosekana basi binti asiolewe hii ingegeuza mahari kuwa malipo na siyo zawadi.

Changamoto ya sasa vijana wanajiozesha wenyewe wakati zamani walikuwa wanaozeshwa na wazazi wao ndiyo maana hali kama hizi zinatokea.
"Wajomba wamechacha wamekuja juu harusini.... wapi mahari mobna sisi hatujapata." Mbaraka Mwinshehe aliimba huo mwimbo. Hata huku US wanazimia mila zetu. For instance Hillary Clintons book is titled "It take a village to raise a child." Amepata ukweli huo toka katika mila zetu. Mila zetu wajomba wana nguvu kwani wanawakilisha upande wa mama zetu ili kuendeleza ukoo na kutambuana generations to come. Kwangu mimi ''Mahari'' ni kama sacrifice u make to adhere to the oath u make on ur matrimony na vilevile ni religious or more of spirititual ritual.
 
Weweeee Eliza hana mtumbo mtoto yuko slim.
Au unataka nikutajie na Gym anayoenda, nenda akakushonee kasuti dukani kwake alafu umtazame hana hata doa na ana watoto.
.
Wewe unao kweli?
Eliza is beautiful than you!
wana wivu kwa nini wasi appreciate ufundi wa Mungu Eliza ni kifaa si mchzeo
 
Huyo wa hapo chini sasa hivi amekuwa Presidaa
 
Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
Hahah,,Iselàmagazi ni Shinyanga eeh?
 
Back
Top Bottom