blance86
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,138
- 5,632
Mkuu njoo nikutoe upweke
Sasa huyo wa kwanza hapo juu na mkitambi wote huo eti mrembo. Mfyuuuuuuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa huyo wa kwanza hapo juu na mkitambi wote huo eti mrembo. Mfyuuuuuuuuu
Safi sanaCheiii mie mwenyewe mrembo kama kwenye avatar hapo
Kuwa mzalendo kabangaWanawavutia mrudi kuangalia channel yao..
.
Sio kwa hilo..Kuwa mzalendo kabanga
Siku hizi wako UpangaAsante kwa hii video, nimewaona watu ambao sijakutana nao kitambo.
Nakumbuka hili kanisa wakati wanasali kwenye majengo ya shule ya Kisutu Sekondari...
Nilikiwa napenda sana vipindi vya kuimba kusifu na kuabudu....hadi unasahau kama uko duniani.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Kawaida tu
Ahahah sure, sijaona aliye kuzidi hapo.Kawaida tu
Halafu wote hao ni wachaga, watoto wa kichaga ni wazuri sana.Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Sijamuona mda sana Asha Haji.Bila picha ya Aisha Hadji hapa utakuwa unatupotezea muda
Yule mdada ni mzuri na sauti yake ya mapenzi ile.Sijamuona mda sana Asha Haji.
Vijana wa kizazi cha Tecno wereva hawawezi kumjua kabisa.Yule mdada ni mzuri na sauti yake ya mapenzi ile.
Ana macho fulani hivi ukikutana nayo yanasema "baby I love you ".
Akizungumza sauti yake shekhe unaweza kupoteza fahamu jinsi inavyoingia masikioni na kuanza kukitembelea kiungo cha mwili kimoja kimoja mpaka kwa ABDALA KICHWA.
Akisimama huo mshape kama ni mkeo unaweza ukawa unashinda nyumbani kila siku uendelee kumuona yeye tu.
Kuna wanaume wanafaidi sana duniani aisee[emoji848][emoji848][emoji848]
Acha kuwa mtumwa wa sheria, sheria hizi zimetungwa na watu tu, kwa maana hiyo unaweza kuta sheria imetungwa kwa maslahi binafsi ya mtu/kakikundi fulani. Kuwa huru bro.Hivi sheria inasemaje kuhusu kuweka picha ya mtu mtandaoni bila ridhaa yake na kuanza kufanya discussion kuhusu personal matters dhidi yake.
Ooh alikuwa Mlimani, ooh ni mtoto wa Mramber, ooh kapanda hewani, ooh ni mke wa mtu, ooh kanenepa sana apunguze unene ...
Nonsense!
Huyo binti yangu wa kwanza hapo juu anapendeza sana na nywele zake natural! Naomba walio karibu naye wamshauri aachane kabisa na minywele bandia. Napendekeza hili nikiwa na uhakika kuwa hapo lazima nitapata mahari isiyopungua ng'ombe 100. Bila kiasi hicho, basi mtu ajaribu tu kuwa mvumilivu asije akasogeza mguu wake nyumbani kwangu, siwezi kumwelewa.Siku hizi TBC inapendeza unapoangalia AridhioView attachment 1463814View attachment 1463816
Nafikiri alikuwepo TBC taifa toka 2010 miaka hiyo bado TBC ina la maana la kusikiliza.Vijana wa kizazi cha Tecno wereva hawawezi kumjua kabisa.
Mahari siyo malipo ni zawadi.Huyo binti yangu wa kwanza hapo juu anapendeza sana na nywele zake natural! Naomba walio karibu naye wamshauri aachane kabisa na minywele bandia. Napendekeza hili nikiwa na uhakika kuwa hapo lazima nitapata mahari isiyopungua ng'ombe 100. Bila kiasi hicho, basi mtu ajaribu tu kuwa mvumilivu asije akasogeza mguu wake nyumbani kwangu, siwezi kumwelewa.