Warembo wanahangaika sana, hizi shepu hizi!

Nilikua sijui hii,kumbe? Samahani,.
Inavaliwa moja au ziwe nyingi nyingi?
Zile nyingi kama 8 au 9 hivi.kuna zile zinafungwa tatu tatu zinaunganishwa ukihesabu kimoja kimoja viko 9 ndo vizuri.kamoja hakawezi weka ule mtari wa kiuno. Ukiivaa mwaka mzima lazima pajitengeneze penyewe.
Zivae muda wote. Za kisasa ni nzuri hata uoge nazo hazikatiki oga nazo lala nazo
 
Alright,nimekupata,[emoji120]Shukrani sana luckyline..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…