Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Kama umeajiriwa/umejiajiri haina haja ya kumpiga vibuti bwana yako kila mara.
Kama umeajiriwa/umejiajiri toa kwa moyo na jitihada as much as bwana yako anavyozitoaga ili kukidhi bills na costs.
Kama bwana yako hana kwa muda huo, fanyeni usawa wa kumvumilia ukata wake na sio kumdharau na kumkimbilia bwana mwenye nacho.
Tofauti na kufanya haya (which am sure wengi wenu hamuwezi fanya), bado mtaendelea ku-prove point kuwa hamuwezi fanya chochote bila wanaume na superiority yake.