TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Kwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.
But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuahidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.
Kama kinapanda soma hapo chini👇🏾;