TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
- Thread starter
- #21
Mkuu kama umesoma walichosema hotel owner, kuna sehemu walimshauri huyo binti akaishitaki kampuni ya huyo mlinzi au hotel, binti kagoma.Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.
Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
But mlinzi siyo wa hotel na alikuwa amesha_sing off, hotel nyingi utoa tender kwa kampuni ambayo usambaza watu/security guard maeneo tofauti.