Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Yeye halazimiki kuwa na ushahidi. Uchunguzi wa polisi ndio ungethibitisha nani mkweli. Na kesi hii ni criminal na ilitakiwa ibebwe na Jamhuri. Na ingethibitishwa kuwa kasema uongo, panga lingemuangukia.Alikataa kwa kua hana ushahidi.
Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.
Amandla...