Mo graphics 2019
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,002
- 1,483
Alikataa kwa kua hana ushahidi.Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli. Zainab akakataa ( labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...
Mahakamani asingeweza kushinda kwa kua hana ushahidi wa kikicho tokea ndani. Ushahidi wote ni wa baada ya tukio ambao haujastify kua kweli tukio lilikuepo ukiachia mbali nani kafanya hili tukio.