Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Maybe dada wa watu aliwahi kuambiwa watanzania wana mitarimbo next level akaona aje ajaribu, sasa kakutana na ukuni wa haja ikabidi atoke nduki
 
Ka Zanzibar kanashindwa kujisimamia kaunganishwe na Dar na katambulike Kama wilaya tu kama ilivyo temeke
 
Hata wa naijeria wenzie wamempinga vibaya

Screenshot_20220416-223153_Nairaland Forum.jpg
 
Nadhani Zanzibar wako too soft na masuala ya work ethics...

Sisi hata tuwatete vipi Hii hotel imekwisha chafuka, bahati mbaya wanaoenda kwenye hoteli za kitalii wanaangalia Maoni ya waliokuwepo, so kama Wanaigeria wakiungana kuirate vibaya Biashara itapata hasara
Rate zake google zilikua 4.2k baada habari kutoka rates zimeshuka hadi 1.4k kwa muda mfupi.

Nadhani meneja wa hotel ni mpemba.
 
Uache upumbafu wakati mwingine, nionyeshe nilipoandika "NADHANI" alafu aliyetoa tamko ni mimi au hotel, unakurupuka kutoka toilet unavamia andiko pasi kutulia.
Tuliza tako dogo subiri Mamlaka ifanye kazi yake haukuwa eneo la tukio tulia
 
Mgeni kufanya ngono na mtumishi ni kitu kigumu kuzuia
Ugumu uko wapi? Mfanyakazi aliajiriwa kufanya kazi au ngono, na je anataka kazi au ngono?
Hakuna makatazo na hata wakifanya inachukuliwa ni sawa tu, Sasa matokeo ndio haya.
 
They are taking advantage of Tanzanians who are inferior.

Who said Tanzanians are inferior? Tanzanians are very kind people that is the reason these crooks want to take advantage of our kindness! Huyu mpopo alikuwa mdangaji na ndio maana alikomalia kutaka alipwe $10,000 na sio vinginevyo; hakutaka hata muhusika achukuliwe hatua za kisheria. Huo ulikuwa mchongo wake aliousuka lakini ukaburunguka!!

Siku hizi wadangaji kutoka pembe zote za Dunia wanamimiika kuja huko Zanzibar kwahiyo ndugu zetu wenye hotel ni lazima wawe macho na uhalifu wa kimataifa wa kila aina ukiwemo EXTORTION/BLACKMAIL kama alivyotaka kufanya huyu mpopo.

Huyu mama hakubakwa sasa hiyo therapy anayosema alikuwa anafanya ilikuwa ya nini? Ukiangalia picha zake kwenye instagram anaonekana ni mdangaji mzoefu wa kimataifa hivyo alitaka kupiga $$$$ toka zenj!!
 
Ni rahisi sana tu- warere waifungulie mashtaka kampuni ya ulinzi kwa mtu wao kufanya vitendo ( contributory negligent) vilivyo sababusha wao kuwa defamed na ku loose reputation yao... ni hivyo tu...
 
Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.

Zainab akakataa ( labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.

Amandla...
Huwezi kusema siyo mfanyakazi wako wakati umeweka trust kwake ya kulinda mali zako. Kama ni contracted security company wakifanya makosa ya kumkera mgeni lazima uwajibike.
 
So long as issue inafuatiliwa na sio kupuuzwa that's all as Taasisi na nchi inachoweza kufanya (kutoa ushirikiano). Na huyo mlinzi amelikoroga, sidhani hata kama alikubaliwa am sure officially sio ruksa kutoa hio huduma akiwa kazini (ingawa unofficially huenda its normal)
 
Mkuu kama umesoma walichosema hotel owner, kuna sehemu walimshauri huyo binti akaishitaki kampuni ya huyo mlinzi au hotel, binti kagoma.

But mlinzi siyo wa hotel na alikuwa amesha_sing off, hotel nyingi utoa tender kwa kampuni ambayo usambaza watu/security guard maeneo tofauti
.
usalama wa mgeni hotelini ni wajibu wa nani? ni wajibu wa hotel sio kazi ya mgeni kudeal na mlinzi, pumbavu hotel gani haina usalama usiku, haina full time receptionist, haina standby room service, reception ni twenty 4 hours bila ungese, hapa hiii hotel ni ya kipumbavu sana
 
Sikubaliani na unyanyasaji wa wanawake ila kwa hii story kuna gaps nyingi haiko balanced.

Ukizingatia hii issue ya sex tourism ipo sana hapo kisiwani.

Meanwhile naona wanaija na wameshaipeleka hii hotel hadi rating ya 1.1 kwenye google reviews..
 
Back
Top Bottom