kinondoniilala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2015
- 987
- 766
Alilipwa hicho kiasi alichotaka?Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.
Zainab akakataa ( labda kwa kutambua kuwa itakuwa usumbufu hasa ukizingatia kuwa haishi Tanzania) akadai alipwe tu pesa.
Amandla...