Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

..mamlaka zinafanya uchunguzi mkuu..but the best way ilikuwa kucontrol damage wakati tukio limetokea..hotel imekiri tukio kutokea na ingeweza kulimaliza kwa kuchukua hatua ya kuendelea na kesi baada ya evidences zote kuwa collected on time na kumu-update binti..or kulimaliza hili suala nje ya mahakama kwa kumlipa binti madhara aliyopata..!.sasa hawakufanya haya on time na now wanakwenda kupata hasara ya maelfu ya dola kwa miaka mingi maana internet haisahau reputable customers hawatakaa waende tena hiyo hotel na labda itabidi waingie gharama ya kubadili jina la hotel...damages na loss watakayopata ni kubwa just kwa kuwa na customer care mbovu na isiyojali!
Vipi Kama Zainabu na hao marafiki zake wa kirussia ilikuwa mbinu ya kumset mlinzi halafu usiku wamgeuke!Kuna maswali ya kukuuliza,huyu mbakaji aliingiaje chumbani wakati chumba kinafungwa?kwa Nini watu wa kwanza kuwakimbilia wawe wale Warusi anadai alikuta hawajafunga mlango,kwa Nini wasifunge mlango saa name ya usiku kulikuwa Kuna plan gani hapo?
Kwa nini aje Aseme baada ya karibia mwaka mzima?
Believe or not Kuna kitu hakiko sawa
 
..well sipo kwa ajili ya kumtetea but haya maswali yote yangeweza kuulizwa na mamlaka za uchunguz na wakafanya a thorough investigation by then!..mbakaj kuingia chumban inategemea kama ana master key/access card anaweza na tunaambiwa reception hakukuwa na mtu which is strange (mbakaj na reception wanaweza kushirikiana)..kuacha mlango wazi inawezekana pia kuwa bahati mbaya na hulka tu...kusema baada ya mwaka inategemea pia feelings na emotions za binti..kama ulifatilia "me too" campaign kuna wamama walikuja kusema hadharan sexual assaults walizofanyiwa after 20-40yrs..I hope you being a lady u know better!
 
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Binafsi nimeshangaa sana kuona International Hotel inatoa Official Statement kama hii. Ila kama wanaji rank na vibanda vya mamantilie na wanaamini wateja wao wanatola Mkunazini na Mchambawima tu, basi hii statement ni sahihi.
 
This is organized crime, yaani wameangalia Royal Tour inazinduliwa. Ila plan yao imefeli kabisa. Watanzania hatuna ujasiri wa kufanya unyama wa hivyo. Nadhani next time hakuna kukaribisha Mgeni toka Nijeria
Yeah! Hakuna haja ya kuwapokea watu wanaokuja kuchafua nchi.
Serikali isitishe kupokea wanaijeria, kama ni ngumu kwao wananchi tuisaidie.
 
Nimefatilia hili swala tangu limetokea ila hadi sasa hakuna upande ninao uhamini siyo Zai siyo Warere
Na lilipofikia ili swala nikila upande unatafuta pakutokea tutaona zai atakacho jibu baada ya maelezo yaliyotolewa na warere

Maswali niliyo jiuliza
1. Je binti anatumika kuichafua warere?
2. Je binti anawinda pesa, kama ndiyo kwanini hakuridhika na kiwango alichonacho kilichompa uwezo wakufanya matumizi yakuja kuvinjari Zanzibar?
3. Kuna watu waliopo nyuma ya binti huyu? Kama ndiyo ni watanzania au kikundi cha wanigeria wenziye ?
 
Mbona ipo wazi Mkuu,
Wakenya wamekodi matapeli kuchafua uzinduzi wa Royal tour Film.
 
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Exactly mimi napata tabu pia.Ukisoma huo utetezi wa Werere bado unaona gap lisilofaa.Kwanza hata kama mlinzi wao na mwajiriwa wa kampuni ingine the moment akiwa pale Werere kulinda then ni responsibility yako, huwezi kumdisown kirahisi hivyo.
Halafu kuna gen manners za wafanyakaxi jamani, Werere wanaonaje suala la mtumishi wao kwenda kufanya mapenzi na mteja? Au hiyo hoteli ni ya hadhi gani jmb?
Hotel wana duty of care kwa mgeni/ mteja.Walifanya ipasavyo kabla ya kukimbilia kabla ya jambo kwenda nje huko polisi, jinai sijui DC.
Yaani imesikitisha
 
Hii kesi aliyeiharibia jina ni huyo Mlinzi hata kama walikubaliana angeenda kwingine sio kwenye hilo lindo

Kwa maelezo ya huyo Mlinzi inaonyesha wazi aliingia chumbani si kwa ajili ya majukumu ya kiulinzi.Issue hapo ni kuwa aliingia ndani kwa majukumu yasiyo ya kiulinzi yaweza kuwa ujambazi au ubakaji nk msichana kasema aliingia kumbaka

Binafsi Mlinzi namuona ana hatia
 
Exactly mimi napata tabu pia.Ukisoma huo utetezi wa Werere bado unaona gap lisilofaa.Kwanza hata kama mlinzi wao na mwajiriwa wa kampuni ingine the moment akiwa pale Werere kulinda then ni responsibility yako, huwezi kumdisown kirahisi hivyo.
Halafu kuna gen manners za wafanyakaxi jamani, Werere wanaonaje suala la mtumishi wao kwenda kufanya mapenzi na mteja? Au hiyo hoteli ni ya hadhi gani jmb?
Hotel wana duty of care kwa mgeni/ mteja.Walifanya ipasavyo kabla ya kukimbilia kabla ya jambo kwenda nje huko polisi, jinai sijui DC.
Yaani imesikitisha
Hiyo binafsi imenistua, huenda Warere Hilo ni jambo la kawaida Sana kwao!?
Wateja wao kufanya mapenzi na wafanyakazi,
Huenda pia wao ni kawaida, reception kutokuwa na simu wala mtu!
Very strange!

Hivi vitu vinaiondolea hadhi hotel! Siyo safe nor secure!
 
Yeah! Hakuna haja ya kuwapokea watu wanaokuja kuchafua nchi.
Serikali isitishe kupokea wanaijeria, kama ni ngumu kwao wananchi tuisaidie.
Huyo msichana wa kinigeria yuko sahihi hotel usalama mbovu yaani Mlinzi anaacha lindo anaenda kuwafuata wageni vyumbani kuwataka ngono!! Hoteli gani hiyo ?

Hotel ilitakiwa imuombe msamaha huyo binti na kama kuna madai hotel ingemtaka huyo.mlinzi au kampuni yake wamlipe huyo binti baada ya kukiri kwa huyo Mlinzi kuwa ni kweli aliingia chumbani

Issue kuwa mteja hakufunga mlango sio issue kakodi chumba anaamini usalama upo hata akilala wazi yuko kwake anaamini usalama upo hakuna shida.Hakuna sheria inasema ukishachukua chumba cha hoteli lazima mlango ufunge
 
Huyo msichana wa kinigeria yuko sahihi hotel usalama mbovu yaani Mlinzi anaacha lindo anaenda kuwafuata wageni vyumbani kuwataa ngono!! Hoteli gani hiyo ?

Akili yako ipo matacon,
Ichomoe huko uanze kufikiri ya maana.
 
True!

Usalama! Wafanyakazi hawapo professional, na hiyo statement Yao ndiyo imezidi kuwaonyesha hawako makini!
Wabadili jina na management else Kwa sasa biashara kwao kitumbua kimetumbukia michanga!
 
Hii issue haihitaji kuijibu kiwepesi wepesi. Ingawa Nigeria kuna scammers wengi, wanigeria wote si scammers. Hata scammer inabidi umuendee kwa utaratibu.
 
Akili yako ipo matacon,
Ichomoe huko uanze kufikiri ya maana.
Hamna hotel hapo
Mlinzi anaacha lindo na kuanza kuzurura kwenye vyumba vya wateja kwa majukumu yasiyo ya kiulinzi kwenda kuparamia vifua vya wanawake iwe kwa ridhaa au bila ridhaa haiko sahihi

Mlinzi kakiri case closed. Hotel ya hovyo hiyo
 
Kwa maelezo ya mlinzi ni kwamba muda wake wa kazi uliisha, alitakiwa kwenda home
Hata kama kuna Lindo linaisha saa 6 usiku?!? Shift change zote huwa saa12 jioni!
Hapo ukimaliza kazi hutakiwi kuzagaa maeneo ya kazi, Zainab anasema aliibiwa $1,100, na aliyeingia huko chumbani ni huyo mlinzi!

Hata kama ni utapeli, kuna vitu aliviona vitambeba,
Hakuna mapokezi usiku
Hakuna simu apart from mobile
Hakuna CCTV footage

Hotel 4.5* kiukweli Warere pazuri na huduma zingine ni nzuri, Kwa hilo la security huenda kuna mapungufu.
Si ajabu tokea Hilo tukio mpaka Leo, bado hawajafunga running CCTV!
 
Kwa maelezo ya mlinzi ni kwamba muda wake wa kazi uliisha, alitakiwa kwenda home
Angeenda naye kwingine kama walikubaliana siyo hapo kwenye hiyo hotel .Hiyo ni hotel au danguro la wafanyakazi wa hotel kuwa wanaojiuza hapo na kununua wateja hapo?

Hiyo ni ofisi kwake.Hebu fikiria muda wa kazi umeisha halafu unakuta wafanyakazi wanafanyana ofisini!! Au wanamfanya mteja ofisini.
 
Back
Top Bottom