Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Vipi Kama Zainabu na hao marafiki zake wa kirussia ilikuwa mbinu ya kumset mlinzi halafu usiku wamgeuke!Kuna maswali ya kukuuliza,huyu mbakaji aliingiaje chumbani wakati chumba kinafungwa?kwa Nini watu wa kwanza kuwakimbilia wawe wale Warusi anadai alikuta hawajafunga mlango,kwa Nini wasifunge mlango saa name ya usiku kulikuwa Kuna plan gani hapo?..mamlaka zinafanya uchunguzi mkuu..but the best way ilikuwa kucontrol damage wakati tukio limetokea..hotel imekiri tukio kutokea na ingeweza kulimaliza kwa kuchukua hatua ya kuendelea na kesi baada ya evidences zote kuwa collected on time na kumu-update binti..or kulimaliza hili suala nje ya mahakama kwa kumlipa binti madhara aliyopata..!.sasa hawakufanya haya on time na now wanakwenda kupata hasara ya maelfu ya dola kwa miaka mingi maana internet haisahau reputable customers hawatakaa waende tena hiyo hotel na labda itabidi waingie gharama ya kubadili jina la hotel...damages na loss watakayopata ni kubwa just kwa kuwa na customer care mbovu na isiyojali!
Kwa nini aje Aseme baada ya karibia mwaka mzima?
Believe or not Kuna kitu hakiko sawa