Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Niger ni tofauti na Naija/Nigeria..
Tusipotoshe bila kukusudia

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Nilikuwa na mawazo kama yako, hivi kwanini Wanaijeria watu wanapenda kuwaita wanaijer wakati ni watu wawili tofauti? Maana Niger ni taifa linalojitegemea, kuwaita Nigerian, Niger ni kulichafua taifa la Niger hasa yakizungumziwa mabaya yao.
 
Vipi Kama Zainabu na hao marafiki zake wa kirussia ilikuwa mbinu ya kumset mlinzi halafu usiku wamgeuke!Kuna maswali ya kukuuliza,huyu mbakaji aliingiaje chumbani wakati chumba kinafungwa?kwa Nini watu wa kwanza kuwakimbilia wawe wale Warusi anadai alikuta hawajafunga mlango,kwa Nini wasifunge mlango saa name ya usiku kulikuwa Kuna plan gani hapo?
Kwa nini aje Aseme baada ya karibia mwaka mzima?
Believe or not Kuna kitu hakiko sawa
Mtu hawezi kuingia kwenye chumba kikiwa kimefungwa... mbona hizi snerio zipo nyingi sana mitandaoni?

Unadhani security za milango zipo high level kiasi hicho?

Maswali ya kujiuliza.

1. Tunategemea 4 star hotel iwe na CCTv camera. Right?

2. Kwenye Utetezi wa Warere Hotel wanasema Zainab aliahidi kuwachafua. Kwa maana hiyo walijua fika hili litatokea. Kwa maana hiyo walitakiwa kukusanya ushaidi wao kuanzia wa Cctv na mambo mengine na kuutunza. Na siyo kuja kwa maneno matupu kama walivyofanya sasa.

3. Work ethics za wapi zinaruhusu mfanyakazi kuwa na Sexual affair na mgeni? Kama wangeweza kulisimamia hili haya yote saiv yasingetokea.
 
Tumia ubongo wako vizuri, ndugu. Hawa watu hawakuonana kwenye club ya muziki. Katika mazingira ya maadili ya kazi, mfanyakazi haruhusiwi kulala na wageni hoteli km ambavyo daktari haruhusiwi kulala na mgonjwa wake. Kitendo cha mlinzi kukubali kwenda kulala na mgeni chumbani ndio sababu ya haya yote. Kama asingekubali kwenda chumbani haya yote yasingetokea.
Sasa hapa kati yako na mimi Nani ametumia akili.
Kama unakiri kuwa alikubali kwenda kulala na mgeni unakiri pia kuwa huyu jamaa hakujaribu kumbaka. Hivyo huyu binti ni muongo. Swala la huyo jamaa kukiuka maadili ya kazi yake nadhani ni issue nyingine.
Hoja hapa ni kama huyo binti alifanyiwa kweli hicho anachodai au ni tapeli alitaka kutumia udhaifu wa Security person kuipiga hotel
 
Mtu hawezi kuingia kwenye chumba kikiwa kimefungwa... mbona hizi snerio zipo nyingi sana mitandaoni?

Unadhani security za milango zipo high level kiasi hicho?

Maswali ya kujiuliza.

1. Tunategemea 4 star hotel iwe na CCTv camera. Right?

2. Kwenye Utetezi wa Warere Hotel wanasema Zainab aliahidi kuwachafua. Kwa maana hiyo walijua fika hili litatokea. Kwa maana hiyo walitakiwa kukusanya ushaidi wao kuanzia wa Cctv na mambo mengine na kuutunza. Na siyo kuja kwa maneno matupu kama walivyofanya sasa.

3. Work ethics za wapi zinaruhusu mfanyakazi kuwa na Sexual affair na mgeni? Kama wangeweza kulisimamia hili haya yote saiv yasingetokea.
Mtajijua Wenyewe watalii....usiniulize maswali Mimi wewe mwenye exposure ndio unieleze kwamba huko mnakoondaga kutalii huwa wafanyakazi hawafanyi mapenzi na wageni,vitasa so vya kuaminika na huwa Kuna CCTV camera.
 
Nikiwa kama Google Local Guide Level 8 I stand with Warere Hotel. Twende tukafanye positive review, hizi ni ajira za wanetu
You stand with Warere Hotel kwa mlinzi kuwa na Sexual Affair na mgeni?

Hizo ni Work Ethics za Wapi?

Hiyo Hotel au Danguro?
 
Hawa nao ni maandazi. Story kama hii unaunganisha na ushahidi, sio maneno tu. Weka paperwork kuanzia alivyoripoti kwao, kwenda polisi, na baadae huko kwa mkuu wa wilaya. Wangerekodi hata kisirisiri demands zake za hela. Walishakuwa threatened, kama hawakujipanga ipasavyo, wanastahili kuwa taken down.
The good thing kwa maelezo yao ni kwamba walijua fika atawachafua.

Walishindwa nini kukusanya ushahidi wao vizuri na kuutunza kwa ajili ya siku atakapokuja kuwachafua?
 
Mtajijua Wenyewe watalii....usiniulize maswali Mimi wewe mwenye exposure ndio unieleze kwamba huko mnakoondaga kutalii huwa wafanyakazi hawafanyi mapenzi na wageni,vitasa so vya kuaminika na huwa Kuna CCTV camera.
Sawa we kwa akili zako si unaona ni sawa mtu kuacha lindo na kwenda kufanya mapenzi tena eneo la kazi?
 
This is a dumb comment, unajaribu kusema tourism in a age limit? Hizo standards umetolea wapi?
Anajiona kwa sababu yeye alikuwa bado Ng'ombe at 23 basi anadhani kila mtu anakuwa hivyo.

Hajui kwamba kuna nchi ile limit ya +18 kwenye nchi yetu wao ni +16.
 
The good thing kwa maelezo yao ni kwamba walijua fika atawachafua.

Walishindwa nini kukusanya ushahidi wao vizuri na kuutunza kwa ajili ya siku atakapokuja kuwachafua?

Hiyo management yote inastahili kuwajibika. Kwa hoteli ya kimataifa, vita ilianza pale walipopokea taarifa.

Walitakiwa kuambatisha report yao, report ya polisi, report ya mkuu wa wilaya, minutes za vikao vya uongozi pamoja na hiyo kampuni ya ulinzi, n.k. Ila wapo wapo tu kimaandazi. Na wapigwe tu sasa.
 
True!

Usalama! Wafanyakazi hawapo professional, na hiyo statement Yao ndiyo imezidi kuwaonyesha hawako makini!
Wabadili jina na management else Kwa sasa biashara kwao kitumbua kimetumbukia michanga!
Sahihi.Statement yao ime confirm kuwa iko shida Warere.
Wabadili jina na uongozi aisee, hamna jinsi.
 
Vipi Kama Zainabu na hao marafiki zake wa kirussia ilikuwa mbinu ya kumset mlinzi halafu usiku wamgeuke!Kuna maswali ya kukuuliza,huyu mbakaji aliingiaje chumbani wakati chumba kinafungwa?kwa Nini watu wa kwanza kuwakimbilia wawe wale Warusi anadai alikuta hawajafunga mlango,kwa Nini wasifunge mlango saa name ya usiku kulikuwa Kuna plan gani hapo?
Kwa nini aje Aseme baada ya karibia mwaka mzima?
Believe or not Kuna kitu hakiko sawa

Huko anahide comments [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumia ubongo wako vizuri, ndugu. Hawa watu hawakuonana kwenye club ya muziki. Katika mazingira ya maadili ya kazi, mfanyakazi haruhusiwi kulala na wageni hoteli km ambavyo daktari haruhusiwi kulala na mgonjwa wake. Kitendo cha mlinzi kukubali kwenda kulala na mgeni chumbani ndio sababu ya haya yote. Kama asingekubali kwenda chumbani haya yote yasingetokea.
Hotel huwezi linganisha na hospital mkuu Mambo yanayofanyika huko ni laana ndio maana hao wenye hotel wamechukulia ni Jambo la kawaida mlinzi kutoa dozi Kwa mteja ikiwa amemaliza Muda wake WA kazi.
 
Back
Top Bottom