Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Hamna hotel hapo
Mlinzi anaacha lindo na kuanza kuzurura kwenye vyumba vya wateja kwa majukumu yasiyo ya kiulinzi kwenda kuparamia vifua vya wanawake iwe kwa ridhaa au bila ridhaa haiko sahihi

Mlinzi kakiri case closed. Hotel ya hovyo hiyo
Sasa wewe usiyetaka mwanaume atombe wanawake ulitaka mlinzi aje kukuparamia wewe?
 
Sasa watanzania tulivyo fyatu ndio tutaikuza hii issue Kama Diamond na bendera ya Nini sijui!wanaigeria wenye dada Yao kimya watanzania sasa
Mimi simuamini huyo Mnaineria hata kidogo,nimesoma maelezo ya pande zote mbili,huyo mnaigeria maelezo yake yana ukakasi sana.Tujiulize kwanini hili suala liamke wakati mama yupo nje kuzindua filamu ya kutangaza utalii ambayo tunategemea iwe game changer? tangu mwaka jana kwanini hili suala liamke sasa? Kuhusu Mlinzi kwenda kufanya mapenzi na mteja what if muda wake wa lindo ulikuwa umeisha? what if alikuwa ameshakabidhi zamu yake?....inawezekana tukawa tunachafuliwa makusudi kabisa na sisi wenyewe Watanzania tukashiriki kwenue uchafuzi wa nchi yetu kwa kutojua,hiyo hotel ya Zanzibar imechafuliwa sana,ratings zimeshuka mno,wanaigeria wameungana kuishusha,sisi tumegawanyika..Ni suala la muda tu hili suala kuchafua Zanzibar yetu na utalii.
 
Huyo msichana wa kinigeria yuko sahihi hotel usalama mbovu yaani Mlinzi anaacha lindo anaenda kuwafuata wageni vyumbani kuwataka ngono!! Hoteli gani hiyo ?

Hotel ilitakiwa imuombe msamaha huyo binti na kama kuna madai hotel ingemtaka huyo.mlinzi au kampuni yake wamlipe huyo binti baada ya kukiri kwa huyo Mlinzi kuwa ni kweli aliingia chumbani

Issue kuwa mteja hakufunga mlango sio issue kakodi chumba anaamini usalama upo hata akilala wazi yuko kwake anaamini usalama upo hakuna shida.Hakuna sheria inasema ukishachukua chumba cha hoteli lazima mlango ufunge

Kuna kazi mfanyakazi haruhusiwi hata kula nyumbani kwa mteja akiwa katika majukumu ya kazi, Huyu mlinzi ni mpumbavu na hii hoteli ya werere hawaheshimu nidhamu kazini, kama huyo mwanamke alimtaka huyo mlinzi angeomba waende mbali zaidi
 
Kama hiyo hotel wanaona sawa kwa mfanyakazi kufanyana hapo na mteja, hilo ni tatizo tena kubwa. Yaelekea jamaa alitaka mbunye kinguvu na huyo mdada akamsihi akalete condom kwa ajili ya usalama, ndio dada akafanikiwa kuchoropoka.
Huyo mlinzi mshenzi na hiyo hotel washenzi
Kwa Mujibi wa maelezo huyo mlinzi sio Mlinzi wa hoteli hiyo
 
Mimi simuamini huyo Mnaineria hata kidogo,nimesoma maelezo ya pande zote mbili,huyo mnaigeria maelezo yake yana ukakasi sana.Tujiulize kwanini hili suala liamke wakati mama yupo nje kuzindua filamu ya kutangaza utalii ambayo tunategemea iwe game changer? tangu mwaka jana kwanini hili suala liamke sasa? Kuhusu Mlinzi kwenda kufanya mapenzi na mteja what if muda wake wa lindo ulikuwa umeisha? what if alikuwa ameshakabidhi zamu yake?....inawezekana tukawa tunachafuliwa makusudi kabisa na sisi wenyewe Watanzania tukashiriki kwenue uchafuzi wa nchi yetu kwa kutojua,hiyo hotel ya Zanzibar imechafuliwa sana,ratings zimeshuka mno,wanaigeria wameungana kuishusha,sisi tumegawanyika..Ni suala la muda tu hili suala kuchafua Zanzibar yetu na utalii.
Watanzania Ni wavivu Sana kufikiri ndio shida yetu....hapa Kuna namn
 
Sikubaliani na unyanyasaji wa wanawake ila kwa hii story kuna gaps nyingi haiko balanced.

Ukizingatia hii issue ya sex tourism ipo sana hapo kisiwani.

Meanwhile naona wanaija na wameshaipeleka hii hotel hadi rating ya 1.1 kwenye google reviews..
Story kaiendeleza leo...

Nenda kasome labda doubts zako zitapungua...
 
Ndugu zangu watanzania at least tupitie kwenye page ya hiyo hotel kule Google map Tuipatie review nzuri urudi kwenye hadhi yake ya 4.5 star maana wataoathirika ni vijana wa kitanzania walioajiriwa pale
Unayo idadi kubwa ya watu wa kuirudisha kwenye 4.5.

Au unadhani ni kazi rahisi?
 
Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
Wacha ujinga,amewezaje kuchukua matukio yote video bila kukosa hata tukio moja?
Na kwanini hii kesi ameileta leo na sio mwaka jana alipotendewa hilo tukio...

U don't smell something fish here?
 
Back
Top Bottom