Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Sheria gani inamruhusu mlinzi kulala na wageni? Tena kwa kuacha lindo? Yaani ni sawa na daktari aseme mgonjwa alimkaribisha kufanya naye mapenzi!! Utakuwa ni utetezi wa kipuuzi.
Mlinzi anadai kuwa alikaribishwa na Zainab. Lakini hamna ushahidi kama hii ni kweli. Ni kawaida ya mtu anaeshutumiwa na kosa kama hili kumgeuzia kibao mwanamke kwa kusema ndie aliyeanza kumtaka.
 
Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
collaborated=corroborated
 
Kazi ya mlinzi siyo kufanya ngono kwenye lindo. Mlinzi ana makosa lakini inaonekana watanzania wengi ni mafyatu. Wanaona alichofanya mlinzi eti ni sawa!!
Ugumu uko wapi? Mfanyakazi aliajiriwa kufanya kazi au ngono, na je anataka kazi au ngono?
Hakuna makatazo na hata wakifanya inachukuliwa ni sawa tu, Sasa matokeo ndio haya.
 
Tumia ubongo wako vizuri, ndugu. Hawa watu hawakuonana kwenye club ya muziki. Katika mazingira ya maadili ya kazi, mfanyakazi haruhusiwi kulala na wageni hoteli km ambavyo daktari haruhusiwi kulala na mgonjwa wake. Kitendo cha mlinzi kukubali kwenda kulala na mgeni chumbani ndio sababu ya haya yote. Kama asingekubali kwenda chumbani haya yote yasingetokea.
3. Wote mlinzi na mgeni wanakiri kulitokea issue ya kutakiwa kufata Kondomu. Ni mbakaji yupi au mwizi yupi anaweza kukubali hili. Kwamba uende utafute kondomu and then unayetaka kumbaka/kimuibia utamkuta.
 
Haka Ni katapeli tu...katoto la miaka 23 kanazuruzura peke yake kanatafuta Nini?wanaigeria wanajulikana kwa mbinu zao
Mkuu hotel imekiri kuwa tukio limetokea..23yrs old ana haki ya kwenda popote duniani na kwa umri wake amejitahidi kutoa maelezo yaliyonyooka..wengi wetu kwa umri huo tusingeweza...don't generalize jiulize tu miaka yote ya utapeli wao mbona hawajafanya tukio kama hili znz, serengeti, dsm, maasai mara, etc?.customer care aliyopewa baada ya tukio ni mbaya..alikubali kwenda police hadi hospital akapimwa na kutoa ushirikiano vizuri..angekuwa tapeli asingekubali kwenda kote huko..na labda angekuwa mtalii wa kizungu wasinge-mtreat vibaya!
 
Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.

Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Utakuwa mpumbavu sana kutoa kauli kama hii.

Mtu amerudi saa nane usiku kamuita mgeni chumbani hapo mwenye goteli anahusika je?
 
Mkuu hotel imekiri kuwa tukio limetokea..23yrs old ana haki ya kwenda popote duniani na kwa umri wake amejitahidi kutoa maelezo yaliyonyooka..wengi wetu kwa umri huo tusingeweza...don't generalize jiulize tu miaka yote ya utapeli wao mbona hawajafanya tukio kama hili znz, serengeti, dsm, maasai mara, etc?.customer care aliyopewa baada ya tukio ni mbaya..alikubali kwenda police hadi hospital akapimwa na kutoa ushirikiano vizuri..angekuwa tapeli asingekubali kwenda kote huko..na labda angekuwa mtalii wa kizungu wasinge-mtreat vibaya!
Hospital alipimwa Nini mbona nilivyosoma tweet zake kasema hakubakwa baada ya jamaa kumwambia akachukue condom?
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Who said Tanzanians are inferior? Tanzanians are very kind people that is the reason these crooks want to take advantage of our kindness! Huyu mpopo alikuwa mdangaji na ndio maana alikomalia kutaka alipwe $10,000 na sio vinginevyo; hakutaka hata muhusika achukuliwe hatua za kisheria. Huo ulikuwa mchongo wake aliousuka lakini ukaburunguka!!

Siku hizi wadangaji kutoka pembe zote za Dunia wanamimiika kuja huko Zanzibar kwahiyo ndugu zetu wenye hotel ni lazima wale macho na uhalifu wa kimataifa wa kila aina ukiwemo EXTORTION/BLACKMAIL kama alivyotaka kufanya huyu mpopo.

Huyu mama hakubakwa sasa hiyo therapy anayosema alikuwa anafanya ilikuwa ya nini? Ukiangalia picha zake kwenye instagram anaonekana ni mdangaji mzoefu wa kimataifa hivyo alitaka kupiga $$$$ toka zenj!!
..mkuu unajua taratibu na muda unaotumika kufungua kesi hadi kupata haki kwa Africa?.mtalii binti wa 23yrs mwenye limited budget unafikiri ni rahisi kwenda nchi ya ugeni na kufungua kesi yenye kuchukua muda na taratibu ndefu?.wewe ukiwa na 23yrs ungeweza kwenda Lagos na kufungua kesi kama hiyo na kushinda?...hujiulizi kwanini hotel isingefungua kesi kwa niaba ya mteja wao baada ya mteja kuacha vielelezo vyake vyote polisi?.ipo wapi cctv ya hotel kuthibitisha ukwel?.
 
Which Tanzanians are inferior?Did you read, hear, check all the evidence put forward by the lady? Would you have the same opinion had it been your sister, mother, daughter?
This issue has been collaborated by the hotel, police, Russians that she took refuge to.The responsible organs need to come out and give out answers.
If you have been in tourist destinations am sure you wouldn't buy her story trust me.
 
htal alipimwa Nini mbona nilivyosoma tweet zake kasema hakubakwa baada ya jamaa kumwambia akachukue condom?
..hospital alienda kupimwa kama kulikuwa na penetration or not na hili ameliweka wazi & very clear..infact ni standard procedure ya sexual harassment ya level ile kwenda hospital kwanza.!.tungekuwa na weledi wahusika wangempa counselling na pia kwenda eneo la tukio kukagua na pia kuangalia alama za kukabwa alizoachiwa na aliyetaka kumbaka...walikuwa na nafasi ya kufanya a thorough investigation na kuwa na evidences zote za kuendelea na kesi hata kama binti amerudi kwao!
 
Ok,Sasa inakuwaje?kesi inaendelea au?maana nimeona hata uvivu kuendelea kufuatilia habari zake nilivyoona tu Ni Mnigeria.... anyway Kama nikweli apewe haki zake kisheria
 
Ndugu zangu watanzania at least tupitie kwenye page ya hiyo hotel kule Google map Tuipatie review nzuri urudi kwenye hadhi yake ya 4.5 star maana wataoathirika ni vijana wa kitanzania walioajiriwa pale
Sasa watanzania tulivyo fyatu ndio tutaikuza hii issue Kama Diamond na bendera ya Nini sijui!wanaigeria wenye dada Yao kimya watanzania sasa
 
Ok,Sasa inakuwaje?kesi inaendelea au?maana nimeona hata uvivu kuendelea kufuatilia habari zake nilivyoona tu Ni Mnigeria.... anyway Kama nikweli apewe haki zake kisheria
..mamlaka zinafanya uchunguzi mkuu..but the best way ilikuwa kucontrol damage wakati tukio limetokea..hotel imekiri tukio kutokea na ingeweza kulimaliza kwa kuchukua hatua ya kuendelea na kesi baada ya evidences zote kuwa collected on time na kumu-update binti..or kulimaliza hili suala nje ya mahakama kwa kumlipa binti madhara aliyopata..!.sasa hawakufanya haya on time na now wanakwenda kupata hasara ya maelfu ya dola kwa miaka mingi maana internet haisahau reputable customers hawatakaa waende tena hiyo hotel na labda itabidi waingie gharama ya kubadili jina la hotel...damages na loss watakayopata ni kubwa just kwa kuwa na customer care mbovu na isiyojali!
 
Back
Top Bottom