Mgeni kufanya ngono na mtumishi ni kitu kigumu kuzuia.Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar...
Nadhani wamesema sio mfanyakazi wao. Na kwa maelezo yao walimshauri Zainab amfungulie mashtaka yeye, kampuni iliyomuajiri na ikibidi hata hoteli.Upuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.
Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Kuna shida nahaliUpuuzi tu, tuhuma za uhalifu wa ngono sio mpya Zanzibar.
Hao wenye hotel wanaona ni sawa wafanyakazi wao kufanya ngono na wageni?? Hakuna work ethics huko visiwani?
Mlinzi anadai kuwa alikaribishwa na Zainab. Lakini hamna ushahidi kama hii ni kweli. Ni kawaida ya mtu anaeshutumiwa na kosa kama hili kumgeuzia kibao mwanamke kwa kusema ndie aliyeanza kumtaka. Lakini vile vile hoja ya Zainab kuwa jamaa aliyekuwa amekusudia kumbaka alikubali kwenda kutafuta kondomi ili aje ambake kwa usalama na yenyewe haijakaa vizuri. Tatizo ni kuwa hawa ndugu zetu wa Nigeria wana sifa ya usanii. Binafsi sishangai kuwa Zainab alitaka mshiko ( haijathibitishwa) ili akae kimya. Ni tabia inayoendana na baadhi yao.
Huyu mlinzi anastahili adhabu hata kama alikaribishwa kwa kosa la kutoka kwenye lindo lake na kuanzisha uhusiano na wateja wa hoteli.
Amandla...
Duuh, huyu mpigaji aisee.
Ni rahisi tu....huyu Danga....
Ajali ilimtokea kazini.
They are taking advantage of Tanzanians who are inferior.
I guarantee you... if she was a Tanzanian complaining on any Kenyan or South African hotel. w
We wouldn't have all this drama.....
Fellow Tanzanians would be the once insulting and naming her....
Kwanza waNigeria ni matapeli, yamkini alijua anachotaka kufanyaKwa ufupi ni kuwa yule dada wa kinigeria alimpenda mlinzi wa kimakua na akaona haiwezekani kulala mwenyewe ila baadae akamgeuka, na walifikishana mpaka kwa mkuu wa wilaya ili kusuluhisha.
Lakini yuke binti wa kiniger akagoma mpaka alipwe kitita cha US dollar 10,000 takribani 23.5mil ili kulimaliza.
But Warere Owner walipokataa kumpa kiasi hicho akaondoka kwa jazba na kuhaidi ataichafua na kuiharibia hoteli kupitia mitandaoni na waniger wenzake.
Kama kinapanda soma hapo chini[emoji1484];
View attachment 2190611
Kwa sisi ambao kila siku tunafanya hizi mambo. Kusikiliza pande zote mbili na kufanya deliberations.Mlinzi anadai kuwa alikaribishwa na Zainab. Lakini hamna ushahidi kama hii ni kweli. Ni kawaida ya mtu anaeshutumiwa na kosa kama hili kumgeuzia kibao mwanamke kwa kusema ndie aliyeanza kumtaka. Lakini vile vile hoja ya Zainab kuwa jamaa aliyekuwa amekusudia kumbaka alikubali kwenda kutafuta kondomi ili aje ambake kwa usalama na yenyewe haijakaa vizuri. Tatizo ni kuwa hawa ndugu zetu wa Nigeria wana sifa ya usanii. Binafsi sishangai kuwa Zainab alitaka mshiko ( haijathibitishwa) ili akae kimya. Ni tabia inayoendana na baadhi yao.
Huyu mlinzi anastahili adhabu hata kama alikaribishwa kwa kosa la kutoka kwenye lindo lake na kuanzisha uhusiano na wateja wa hoteli.
Amandla...