Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

Warere Beach Resort: Zainab Oladehinde alikubaliana na mlinzi kufanya mapenzi. Alitaka tumlipe fidia USD 10,000

"Mbakaji alikuwa ajui Kiingereza ila alisikia neno HIV Kisha wakaelewana akalete condom na mbakaji akakubali kwenda kutafuta condom wakati huo ni Usiku wa manane sijui alikwenda kuichukua wapi. Lakini pia sijui aliwasiliana Kwa lugha Gani na mbakaji akamweleza kuwa nenda katafute condom na hiyo condom mbakaji alihifadhi wapi?"

Hili tu linatosha kumaliza story. Hawa Shemeji zetu wa Kinigeria sijui vipi.

Dada zetu walioolewa huko kina Jide na Vee Money watusaidie kuwareform 😛😛😛
 
Muwe mnaelewa kingereza jpo kdogo. Kasema alipogundua mbakaj hajui kizung akaona aseme hiv ndipo mwamba akaogopa. Kisha akaongeza neno condom hpo mwamba kwa kua mashine ilikua on sport akajua kaambiwa akalete kondom
 
Sikuzote ninapo sikia Nigerian hua naongeza kumakinika kwenye ufahamu wa akiliyangu.
Sijawahi kuwaamini hawa watu (sijui kwanini), Mungu anisamehe sana kwa mawazo haya
 
Sawa ila hii approach ya kusema Zanzibar is safe mitandaoni haitatusaidia kurufisha image nzuri ya utalii Zanzibar.

Kitu cha muhimu mamlaka zifanye kazi zake kwa weledi Justice ipatikane.

Mitandao mnaichukulia poa ila yule mwenye hotel imeshakula kwake....
Unadhani Dunia nzima ni wapumbavu?
 
Mlinzi anadai kuwa alikaribishwa na Zainab. Lakini hamna ushahidi kama hii ni kweli. Ni kawaida ya mtu anaeshutumiwa na kosa kama hili kumgeuzia kibao mwanamke kwa kusema ndie aliyeanza kumtaka.

Lakini vile vile hoja ya Zainab kuwa jamaa aliyekuwa amekusudia kumbaka alikubali kwenda kutafuta kondomi ili aje ambake kwa usalama na yenyewe haijakaa vizuri.

Tatizo ni kuwa hawa ndugu zetu wa Nigeria wana sifa ya usanii. Binafsi sishangai kuwa Zainab alitaka mshiko ( haijathibitishwa) ili akae kimya. Ni tabia inayoendana na baadhi yao.

Huyu mlinzi anastahili adhabu hata kama alikaribishwa kwa kosa la kutoka kwenye lindo lake na kuanzisha uhusiano na wateja wa hoteli.

Amandla...
Mbakaji anaenda kutafuta condom [emoji23][emoji23]
 
Nilikuwa na mawazo kama yako, hivi kwanini Wanaijeria watu wanapenda kuwaita wanaijer wakati ni watu wawili tofauti? Maana Niger ni taifa linalojitegemea, kuwaita Nigerian, Niger ni kulichafua taifa la Niger hasa yakizungumziwa mabaya ya
Ni nchi mbili tofauti ila tabia zao zinafanana za utapeli
 
Pisi inayodaiwa kubakwa ni low quality kama zile za kimboka za buku 2 mbili. Mlinzi ana moyo.

Screenshot_20220418_133213.jpg


Screenshot_20220418_133218.jpg


Screenshot_20220418_133229.jpg
 
Nikisikia wanaijeria nakumbuka michezo ya Olympic iliyo fanyika kama sijakosea mwaka 1999 Huko Atlanta Marekani.

kwa mara ya kwanza wanaijeria wlileta taharuki nchini Marekani kwa Utapeli na wizi wa fedha ktk mabenki ya maeneo hayo.

sio wote lkn baahi yao wana elimu ya juu ya utapeli wa viwango vya juu.
 
Na kwanini baada ya mwaka mmoja.Huyu tapeli alingoja mwaka mmoja kuweka hili tukio public!!!
Why now?Yaani udai kutaka kubakwa upange fidia wewe muathirika ya dola elfu 10??
Smelling a rotten fish.Huu ni utapeli uliounganishwa na blackmail ya kutuharibia soko letu la utalii.
Lisichukuliwe kijuu juu hatua zinazostahiki zichukuliwe kuzuia hao matapeli.
 
Wewe ndo unatetea ujinga. Mlinzi kulala na mteja sehemu ya lindo ndio ujinga wenyewe huo. Siyo maadili ya kazi hayo. Yeyote anayetetea mlinzi kulala na mteja sehemu ya kazi, anatetea ujinga.
Unatetea ujinga halafu unanifanya kucheka?nenda huko clubhouse ukasikilize wanaume wenzio wanavyopanga kuua utalii Tanzania,kasikilize wanaume wenzio wanavyosimana na nchi zao sio wewe uko busy kukakandamiza wa kwenu...ambake Nani yule kahaba hata kwa macho unamuona
 
Wewe ndo unatetea ujinga. Mlinzi kulala na mteja sehemu ya lindo ndio ujinga wenyewe huo. Siyo maadili ya kazi hayo.
Kwahiyo mlinzi anatakiwa awajibishwe lakini sio sasa msaidie kuchochea Hili suala.

Kama umifanya utafiti wanawake wengi wanaokwenda kutalii pekee yao Huwa Wana motives yao na wengi wao huliwa sana
 
Mlinzi alitakiwa awajibishwe kwa kuvunja maadili. Pili, usalama wa wateja uko mikononi mwa hoteli. Kama security ya wateja inakuwa breached, hotel inakuwajibika. Kusema kuwa mlinzi alitoka kampuni ya ulinzi siyo utetezi. Hotel inawajibika kwa mteja. Na kamouni ya ulinzi inawajibika kwa hotel.
Kwahiyo mlinzi anatakiwa awajibishwe lakini sio sasa msaidie kuchochea Hili suala.

Kama umifanya utafiti wanawake wengi wanaokwenda kutalii pekee yao Huwa Wana motives yao na wengi wao huliwa sana
 
Back
Top Bottom