Nchi Yetu Ina viongozi wajamaa wasio na uthibutu wa kumwajibisha mkosaji bila kujali Taifa lake, uwezo wake wa uchumi Wala rangi yake. Tanzania tuna kesi za watu kulalamika kutishiwa kubakwa lakini haijawahi kutokea maskini akanusurika kukaa mahabusu. Inasikitisha Sana mtu kutunga stori Kwa lengo la kujipatia Fedha then serikali inamtetea bila kuona athari Kwa utalii na uchumi.
Huyu dada ukifuatilia stori yake utagundua upo udanganyifu mkubwa anaoufanya baada ya kudai alipwe elfu Kumi akakataliwa. Mfano
1. Anadai mbakaji alikuwa chumbani taa ikiwa imezimwa Kisha alianza kumwingilia Kwa kumkaba lakini hakujua lengo lake kama ni mwizi au la.
2. Mbakaji alikuwa ajui Kiingereza ila alisikia neno HIV Kisha wakaelewana akalete condom na mbakaji akakubali kwenda kutafuta condom wakati huo ni Usiku wa manane sijui alikwenda kuichukua wapi. Lakini pia sijui aliwasiliana Kwa lugha Gani na mbakaji akamweleza kuwa nenda katafute condom na hiyo condom mbakaji alihifadhi wapi?
3. Baada ya mbakaji kutoka anasema aliwasiliana na mapokezi simu haipokelewi lakini pia alitoka nje akawaona walinzi wanapiga stori badala aombe msaada anadai Kwamba alidhani ni wale wale wabakaji hivyo hakutaka wamwone. Kipindi chote hicho sijui mbakaji alikuwa anatafuta condom au alikuwa wapi asemi
4. Kinachofurahisha anasema alitambaa kutoka chumbani Hadi mapokezi akaita lakini Kimya; wakati huo anasema aliiti Kimya anatuambia walinzi walikuwa karibu wanapiga stori means Kwa maelezo haya hao walinzi wangeona kinachotokea kaunta ila anasema walinzi awakumwona.
5. Anasema kwenye hoteli hiyo alikuwa na couple flani alikuwa anafahamu ililala chumba flani; hivyo akaendelea kutambaa kuelekea kwenye chumba Chao. Alipofika kwenye hicho chumba alikuta kipo wazi kumbuka hii anadai ni saa Kumi alfajiri na hiyo couple baada yakusimuliwa kilichotokea awakuchukua hatua wakamwambia tulale Hadi Asubuhi uende Polisi. Hii inaleta picha Kwamba mbakwaji na marafiki zake wote walikuwa normal na wakapata usingizi.
6. Asubuhi akarudi chumbani akakuta siyo Kwamba alitishiwa kubakwa Bali Fedha zake pia zimechukuliwa zaidi ya dola elfu Moja. So anataka kuuambia uma alipata hasara ya kiuchumi.
7. Anasema mbakaji alikuwa harufu mbaya na hata meneja alipoita walinzi hakuweza kuwatambua kwa sura bali aliwatambua Kwa harufu; kwa maana nyingine pamoja na taa kuzimwa alijua mbakaji ni askari na ndiyo maana aliomba waitwe askari wote na siyo watu wengine! Story ya mbakwaji
8. Akaenda kutoa maelezo Polisi Kisha hospitali akabainika hajabakwa akatakiwa kuthibitisha tuhuma zake asemi Kwamba alikataa Bali anachosema nikupiga picha kituo cha Polisi huku akidai Polisi awajui kiingereza.
9. Wakati akidai Polisi waliomhudumia awajui kiingereza anapost picha ya maelezo yake two pages sijui yaliandikwa Kwa lugha Gani. Hii yote kukamilisha utapeli.
10. Hakuna sehemu anasema kwanini kesi haikwenda mbele, hasemi kama alirejeshewa dola zake elfu Moja wala atuambii suala hili liliishaje Hadi akaondoka nchini ; huu ndio utapeli.
Kwa Upande wa pili ukisoma taarifa ya hoteli ndipo unapothibitisha nia hovu ya Raia huyu wa Nigeria.
Kwanza, kwanza hoteli inakiri kwamba huyu dada alimlaghai mlinzi washiriki kimapenzi.
Pili, wanaeleza wazi kwamba kabla yakushiriki kimapenzi huyu dada akamwomba mlinzi akatafute condom na hapo ndipo story ikaanza
Tatu, hoteli ilipobaini kwamba mlinzi ameingizwa kwenye mtego na stori imebadilika wakasimamia kuwa suala lile ni jinai lichunguzwe na Polisi na siyo fault ya hoteli . Yalikuwa makubaliano ya pande mbili na walikuwa watu wazima siyo watoto.
Nne, kesi ikafika Polisi baada ya maelezo na uchunguzi ikaonekana ni kesi ya mahusiano na kama Kuna madai basi taratibu zifuatwe.
Tano, Mnigeria kuona anapambanishwa na mlinzi kwenda madai nadhani akaona huyu kachoka atoweza kumpa fedha anayotaka na akagoma kwenda mahakamani au kuendelea na madai. Lakini pia wizi wa dola El moja nao ukakosa mantiki
Sita, wakahamisha kesi ikaenda Kwa DC (jiulize mbakwaji Gani asiyetaka jinai anamwingiza DC na mamlaka nyingine za mkoa). Imefika Kwa Mkuu wa wilaya kibao kikageuka Mnigeria akataka fidia ya Dola elfu Kumi. Maana yake thamani ya kutaka kubakwa au utu wake yeye una value ya elfu Kumi USD.
Saba, hoteli wakagundua mtego huo wakakataa kuipa hata shilingi wakidai kesi ni ya jinai iende mahakamani kama ana amini story yake ipo sawa. Mnigeria akakataa kwenda mahakamani anataka pesa. Hoteli wakagoma.
Nane., Baada ya hoteli kugoma Mnigeria akawatisha hoteli kwamba atawachafuaa mitandaoni wakamwambia sisi hatutishiki sheria ifuate mkondo wake. Alipoona msimamo sahihi wa hoteli akaondoka akarejea kwao Nigeria . Juzi kaandika story lakini tujiulize kwanini story itoke kuelekea uzinduzi wa Royal Tour? Economic deplomacy its an heart of any serious country; let us act smart
Kwa Upande wa tatu serikali imefanya Nini?
Kwanza, napongeza kauli ya serikali kwamba wanafanya uchunguzi na serikali haipo kutetea uvunjifu wa sheria
Pili, napingana vikali na baadhi ya Mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar hasa mmoja aliyehojiwa mtandaoni kwenye mjadala sitaki kumtaja jina akakiri haya mambo yapo. Huwezi kupewa dhamana ya kulinda uchumi wa nchi ukatoa kauli ya kukiri kosa ambalo taarifa ya uchunguzi haijatoka.
Huyu mtu ni tapeli hatupaswi kuingia kwenye mtego wake tutafilisi hoteli zetu. Viongozi jifunzeni kukaa kimya au kutoa kauli baada ya kupata idhini. Unaposema haya mambo yapo una uthibitisho? Je, ni ya aina hii?
Je, unachosema kipo ni ubakaji au unakiri uwepo wa utapeli? Kama mnaweza kulitetea chama mnashindwaji kuitetea nchi? Mbona kwenye chama kauli ni ya mtu mmoja kwanini Mhe atoke aende akatoe kauli tata mtandaoni?
Hitimisho; Tanzania kama Taifa tusikubali kuwa wepesi kutapeliwa, serikali ichukue msimamo kama msimamo wa hotel. Leo hoteli ingetoa dola elfu Kumi Nani anajua tungechafuka kiasi Gani? Walifanya kazi proffesionally wakakataa vitendo vya Rushwa ambavyo Mnigeria alitaka kuvitengenezakupitia ofisi za Umma. Let assume story Leo ingeonyesha alikoswa kubakwa, DC , RC na Wizara wakamsaidia akalipwa Dola elfu Kumi kama fidia; tungeweka wapi USO wetu?
Lakini pia ninatamani Sana tuwe na uchungu na nchi Yetu; Mhe. RAIS anazindua royal tour then tunachafuliwa kuondoa kabisa concentration ya Dunia kwenye uzinduzi na sisi tunakubali? No hapa intelligence lazima mchunguze beyond kubakwa mtwambie alitumwa au alisukumwa na Nani kufanya haya? Kama Kun jinai basi kesi ta jinai ifunguliwe.
These people from Nigeria wanatia watu wetu hasara Sana, niliwahi shuhudia mteja anakataa kulipa chakula Kwa kudai amekuta unywele kwenye chakula it was one of our five star hotel; akifika amenyoa kipara akala chakula alipomaliza Kwa macho yangu nikaona ametoa kitu kwenye mfuko wa Shati akaweka kwenye plate ya chakula Kisha on the spot akamwita muhudumu " You guys what is this" ...mihudumu akamtuliza Kisha akamwita meneja wakaapologize lakini jamaa kataka kwenda mbali Zaidi kwamba chakuka siyo salama.
Ikabidi aitwe ofisini, lakini alikuwa anajitete " Mimi nimenyoa upara unadhani huu unyweli unaweza kutoka kwangu kama siyo wapishi wenu wamekosa usafi" . Niliumia Sana na kwenda Kwa meneja nikamweleza full story akaniambia for our image wamekubali asilipe baada ya eneo alilokuwa amekaa kamera kukosa ushahidi .
So, Watumishi wa Umma ongezeni ueledi na tafuteni wataalam wanaojua namna unavyoweza kuhujumiwa. Take it serious ikiwezekana kupitia ubalozi huyo dada ahojiwe na hii tume Iwe fundisho kwa wengine.