Warioba: Hatutachukua mawazo ya Katiba majukwaani wala kwa Mashinikizo ya Vyama vya Siasa

Warioba: Hatutachukua mawazo ya Katiba majukwaani wala kwa Mashinikizo ya Vyama vya Siasa

katiba ni inclusive lazima akubal kukusanya maoni kwa njia tofauti ili mradi uwafikie wengi. Asipokuwa mwangalifu inaweza kukataliwa kwenye kura ya maoni ikawa kazi bure
musijidanganye na wingi wa watu,wengi wao wanaenda kushangaa helikopta.me nakaa wilayani nna miaka zaidi ya mitatu sasa sijaona helikopta sasa akifika babu lzm nikaione ndege.
 
Back
Top Bottom