Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.

Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.

Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni
 
Mzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.

Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.

Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI
 
Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.
Kwa bahati nzuri alikuwa na intelijensia makini ambayo ilitangulia na kumpa taarifa za matatizo ya pale kabla hajafika, hivyo kazi yake ilikuwa kutoa majibu tu. Hivi unafikiri msomi anaweza kuwa data collector au ni analyst na mwisho anatoa recommendations.
 
Mzee Warioba.

Sema baba, hata kama watajitokeza akina Bashite wengine watakaopandia ngazi kwa kukunyanyasa wewe, sauti ya wananchi iliyobaki sasa.
 
Kwa bahati nzuri alikuwa na intelijensia makini ambayo ilitangulia na kumpa taarifa za matatizo ya pale kabla hajafika, hivyo kazi yake ilikuwa kutoa majibu tu. Hivi unafikiri msomi anaweza kuwa data collector au ni analyst na mwisho anatoa recommendations.
Umekosea, hiyo intelligence ilikuwa haipati shida zote za wa wananchi. Viongozi wa Wilaya na usalama walikuwa wanachagua baadhi ya shida na kuacha mengine. Kulikuwa na bias .kwa hiyo Mzee Warioba yuko sahihi. Kwanza ni mwanasheria na ana uzoefu na uongozi. Sijui wewe ni nani?
 
Acha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijana
 
Mzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.

Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.

Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI
Nyongo zinaendelea kutemwa japo za sasa ziko diluted mno.. Ya Diallo ilikuwa pure kabisa ndio maana ikaunguza mnoo..!!!
 
Ila huyu mzee daah, kabaki mwenyewe yaani.

Mkuu naweza pata hata cv yake nijifunze kitu, Kama unayo nidodoshee pm mkuu
 
KA muuulizeni, yeye alipokiwa wazirii mkuu alikuwa anatekereza hicho anachokiongea???
Hata ungekuwa ni wewe usingeweza maana waziri mkuu uko chini ya huna maamzi, lakini pia kumbuka yeye akiwa waziri mkuu Tanzania hii ilikuwaje na leo ikoje fikiria Mara mbili kabla hujamkosoa
 
Unajua nafasi ya waziriii mkuuuu?? Kama hakufanya hivyo, akiwa na nafasi ile, mbona Leo hiiii anaongeaongea kwani hayuko chini ya mamulaka yoyote??
 
Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.

mwanao wa miaka 5 anakuuliza kwanini huwa unalala na baba,unamchekea!!!mkemee maana atajua mbeleni sio lazima wewe umwambie.
 
Mzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.

Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.

Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI
Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senior
 
Back
Top Bottom