Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

Acha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijana
Ujinga unaweza kuwa nao wewe mzee,,, unaona kiongozi kuhusika direct kwenye data collection ni batili?!!!
Akilishwa matango pori itakuwaje?
 
Sehemu ya andiko lako siyo sahihi.

Alipenda sana kusikiliza maswali ya bandia yaliyopandikizwa ili ayajibu na kujizolea sifa za kuwa kiongozi wa wanyonge.
Alipenda sana siasa za hila na ulaghai.
 
Mzee amepewa akili nyingi Sana na MUNGU...
MZee warioba anajua Sana ishu za siasa
 
Mzee Warioba watu dizaini yake ndio walifaa kua presidential material
Sio vichaa Kama jiwe!

Aishi maisha marefu huyu mzee hanaga makuu na ni hazina ya taifa na mzalendo wa kweli sio wale wajinga waigizaji wa uzalendo wakati waganga njaa tu!
 
Mzee Warioba.

Sema baba, hata kama watajitokeza akina Bashite wengine watakaopandia ngazi kwa kukunyanyasa wewe, sauti ya wananchi iliyobaki sasa.
Nasubiri kusikia ccm wakitoa tamko na kumuita mzee mwizi au apeleke malalamiko yake kwenye vikao
 
Namtetea huyu Mzee, hicho alichosema ndicho alikuwa anafanya akiwa PM, na wengi walimpenda sana kwa approach yake hiyo, narudiakusema hapa

Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senio
Huyo aliyeandika kuuliza utendaji wa Warioba labda kazaliwa 2000!
 
Namtetea huyu Mzee, hicho alichosema ndicho alikuwa anafanya akiwa PM, na wengi walimpenda sana kwa approach yake hiyo, narudiakusema hapa

Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senio
Unaonekana mkongwe ila all in all huyu mzee na butiku ndio wazee waliobaki
 
Yaani kazi kwelikweli ndugu yangu.. huyo jamaa anasema kiongozi ' hana muda huo'.... Sasa majukumu yake kuwatumikia wananchi wake ni yepi, kama jukumu mojawapo ni kuhakikisha ufuatiliaji wa kazi wenye tija...... kweli tuna safari ndefu aiseee.
Ujinga unaweza kuwa nao wewe mzee,,, unaona kiongozi kuhusika direct kwenye data collection ni batili?!!!
Akilishwa matango pori itakuwaje?
 
Mikutano ya viongozi wanatambulishana mpaka muda wa kuongelea kero za wananchi unaisha.

Na kila anayesimama kutambulishwa anapewa Maiki kusifia
Nachukia sana hicho kitu, sana tu. Hata Bungeni huu ugonjwa umeshatamalaki.
 
Acha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijana
Unabisha nini wewe leo hii unataka kijifanya ukumbuki matusi ya KICHAA kwa wananchi.
Mwendawazimu alikua ataki kusikia kero za wananchi, na wateule wakawa wanafanya yale yaliompendeza tu, Ili kulinda teuzi zao.
acha kutuletea legacy ya Mwendawazimu.

Mzee Warioba yupo sahii kabisa.
Wananchi wawe huru kutoa kero zao, hao wapambe wa Rais au PM hawawezi kusaidia kitu. Tena wapambe wanaweza kukupoteza wao kwao Swali gumu wanaona ni UCHADEMA
 
Mzee Warioba ni mkweli siku zote, ni mzee aliebaki na utimamu wake hadi sasa. Nchi imeelekea direction tofauti polepole chama kilipoanza kupoteza mvuto wa kisiasa na kuanza kutumia ushawishi wa nguvu ili kuendelea kutawala tukumbuke hata viongozi wa serikali wanatoka kwenye chama hiki na kupeleka tyle hii ya kulazimisha kila kitu kwa wananchi badala ya kuwasikiliza wananchi. Utawala wa mwendazake ndio uliofikia kiwango cha juu kabisa kuweka maigizo ya kukubalika kwa wananchi na kuwasemea na kuwajibia wananchi na kusingizia kukubalika kwa maigizo. Serikali hii ni zao la serikali iliyopita wanatumia style ileile. Mzee Warioba waeleze serikali na chama chate kibadili mwelekeo na kuheshimu wananchi.
 
Back
Top Bottom