othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mabomba yaliunganishwa kipindi cha mwenda kuzimu huku makonda akisimamia miradi hiyo, usijitoe ufahamuBora hata yule!
Siku hizi unaona hata watu wanajiunganishia tu mabomba ya mafuta na wanaachwa wanapeta tu