Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,330
- 7,494
Zaman tulikua na viongozi na walienda chuoni kusomea sifa za uongozi.Sasa tuna watawala tu, ukimuuliza Samia na Majaliwa kama wanauelewa na nafasi walizopo watakwambia ni watawala.Namtetea huyu Mzee, hicho alichosema ndicho alikuwa anafanya akiwa PM, na wengi walimpenda sana kwa approach yake hiyo, narudiakusema hapa
Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi Senio