Kwa bahati nzuri alikuwa na intelijensia makini ambayo ilitangulia na kumpa taarifa za matatizo ya pale kabla hajafika, hivyo kazi yake ilikuwa kutoa majibu tu. Hivi unafikiri msomi anaweza kuwa data collector au ni analyst na mwisho anatoa recommendations.Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.
Mzee Warioba.Mzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.
Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.
Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI
Sehemu ya andiko lako siyo sahihi.Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.
Umekosea, hiyo intelligence ilikuwa haipati shida zote za wa wananchi. Viongozi wa Wilaya na usalama walikuwa wanachagua baadhi ya shida na kuacha mengine. Kulikuwa na bias .kwa hiyo Mzee Warioba yuko sahihi. Kwanza ni mwanasheria na ana uzoefu na uongozi. Sijui wewe ni nani?Kwa bahati nzuri alikuwa na intelijensia makini ambayo ilitangulia na kumpa taarifa za matatizo ya pale kabla hajafika, hivyo kazi yake ilikuwa kutoa majibu tu. Hivi unafikiri msomi anaweza kuwa data collector au ni analyst na mwisho anatoa recommendations.
Acha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijanaUmekosea, hiyo intelligence ilikuwa haipati shida zote za wa wananchi. Viongozi wa Wilaya na usalama walikuwa wanachagua baadhi ya shida na kuacha mengine. Kulikuwa na bias .kwa hiyo Mzee Warioba yuko sahihi. Kwanza ni mwanasheria na ana uzoefu na uongozi. Sijui wewe ni nani?
Nyongo zinaendelea kutemwa japo za sasa ziko diluted mno.. Ya Diallo ilikuwa pure kabisa ndio maana ikaunguza mnoo..!!!Mzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.
Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.
Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI
Alitengeneza matatizo kwa wananchi kisha akayaigiza kuyatatua. Kweli alistahili kuwa milembeSehemu ya andiko lako siyo sahihi.
Alipenda sana kusikiliza maswali ya bandia yaliyopandikizwa ili ayajibu na kujizolea sifa za kuwa kiongozi wa wanyonge.
Ila huyu mzee daah, kabaki mwenyewe yaani.Nyongo zinaendelea kutemwa japo za sasa ziko diluted mno.. Ya Diallo ilikuwa pure kabisa ndio maana ikaunguza mnoo..!!!
KA muuulizeni, yeye alipokiwa wazirii mkuu alikuwa anatekereza hicho anachokiongea???Ila huyu mzee daah, kabaki mwenyewe yaani.
Mkuu naweza pata hata cv yake nijifunze kitu, Kama unayo nidodoshee pm mkuu
Hata ungekuwa ni wewe usingeweza maana waziri mkuu uko chini ya huna maamzi, lakini pia kumbuka yeye akiwa waziri mkuu Tanzania hii ilikuwaje na leo ikoje fikiria Mara mbili kabla hujamkosoaKA muuulizeni, yeye alipokiwa wazirii mkuu alikuwa anatekereza hicho anachokiongea???
Unajua nafasi ya waziriii mkuuuu?? Kama hakufanya hivyo, akiwa na nafasi ile, mbona Leo hiiii anaongeaongea kwani hayuko chini ya mamulaka yoyote??Hata ungekuwa ni wewe usingeweza maana waziri mkuu uko chini ya huna maamzi, lakini pia kumbuka yeye akiwa waziri mkuu Tanzania hii ilikuwaje na leo ikoje fikiria Mara mbili kabla hujamkosoa
Nitajulia wapi ndugu mie nalima mihogo huku kisarawe nipe elimu naona unajuaUnajua nafasi ya waziriii mkuuuu?? Kama hakufanya hivyo, akiwa na nafasi ile, mbona Leo hiiii anaongeaongea kwani hayuko chini ya mamulaka yoyote??
Tulishawahi kuwa na kiongozi asiyependa kusikiliza,alipenda kusikilizwa tu na maswali kwake yalikua ni mwiko.
Namkumbuka Warioba, alifanya hivyo mwaka 1988 majira ya joto na mvua alipotembelea wilaya ya Njombe, alikaa jukwaani akawaita wananchi wote wenye kero wajitokeze awasikilize, asilimia kubwa ya kero alizimalizia hapohapo, chache aliondoka nazo kwenda kwa Rais Mwinyi SeniorMzee Warioba ameshauri kupunguza mda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.
Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.
Kwa kifupi mikutano ya kiserikali imekuwa kama ya KAMPENI