Warioba: Hotuba zetu kwa wananchi hazikidhi.Tuwasikilize kwanza wananchi

Zaman tulikua na viongozi na walienda chuoni kusomea sifa za uongozi.Sasa tuna watawala tu, ukimuuliza Samia na Majaliwa kama wanauelewa na nafasi walizopo watakwambia ni watawala.
 
Kwani nimekubana ili nikupishe?
 
“Wananchi ndio walitaka na wanataka katiba mpya
Mtu anayesema hatuna haja ya katiba basi huyo yupo mbali na wananchi”... Jaji J. Warioba

Ktk kipindi cha DK 45 ITV sasa
Bi, Chokochoko aione hii, yaani anatubania na sauti kabisa. Anajiona bonge la mtawala, badala ya kuwa kiongozi wa wananchi.
Na washenzi wa Taifa wanamshangilia.
 
Wewe ni mpuuzi tu kama wapuuzi wengine, niambie Rais gani amesikiliza matatizo ya wananchi kama Magufuli? Je Kikwete ulimuona amesikiliza matatizo? Samia nae kafikia hatua ya kuwaambia watu wasibebe mabango kwenye ziara zake? Ni lazima uwe na akili kuliko kujikita kumtukana Magufuli kana kwamba wewe utaenda mbinguni na kuna uwezekano mkubwa wewe ukawa mtu mbaya sana lakini uko hapa kujihesabia haki na kuhukumu wezako.
 
Sasa tuna watawala tu, ukimuuliza Samia na Majaliwa kama wanauelewa na nafasi walizopo watakwambia ni watawala.
Uongozi ni talent, wamesalia viongozi wachache sana hivi sasa, the rest ni watawala as you say, na utawala normally ni wababe, ubabe hautumii akili, hauangalii the other side of a coin
 
Mwendawazimu hawezi kua kiongonzi,
Alikua mshenzi , katili , mtesaji na muuaji.
Alipenda Propaganda na kutukana waliomwambia kero zao.
Mifano ni mingi mno. Hakua kiongozi anaezungumziwa hapa. Alikua mtawala.
kama umeambukizwa uwandawazimu huwezi kuelewa chochote , utatetea ujinga tu.
 
Warioba alikuwa anafanyia kazi mpaka kero alizokuwa anazisoma kwenye magazeti, hususan kwenye "Barua za Wasomaji".

Kuna msaidizi wake mmoja alikuwa anamuandalia magazeti anampigia mstari headlines muhimu za kusoma.

Kipindi yuko Waziri Mkuu kila siku asubuhi ilikuwa huwezi kumkuta hana gazeti akiwa katika msafara wake.

Viongozi wa sasa wamejikita kwenye kupenda kusikilizwa wao kuliko wanavyosikiliza wananchi.
 
Wewe endele kuamini unachokiamini mkuu.
 
Wewe endele kuamini unachokiamini mkuu.
 
Mbona hicho ndicho alichokua anakifanya magufuri akiwa zialani mikoani hata hivyo watu hawa hawa ndio waliokua wanamnanga eti anapenda sifa za kutumbuana mbele ya hadhara huku akishangiliwa na wananchi,badala yake aunde tasisi imara za kuweza kutatua kero za wananchi kuliko kwenda kuanikana pale mbele ya wananchi na kutumbua hadharani.Hakika watanzania wanafiki
 
Pia zaidi zaidi ukiwapa nafasi kubwa wananchi ndo wawe watoa kero zao moja kwa moja,ndo hapo utasikia Mara Mimi nimebakwa,kesi iko mahakamani anataka rais aingilie kati,Mimi Jana nimelala njaa,n.k
 
Hv huyu c ndiyo alitandikwa vibao na mtoto wa kwanza wa baba
Lakini alitandikwa awamu ya NNE na uyo mtoto hakufanywa chochote,nashangaa kelele zimekuja kuibuka awamu ya tano.Poor thinking and resoaning
 
Huyu babu nilimsikiliza jana, asee babu ni hazina kubwa sn kwa taifa siyo muoga anaongea point sn.
Hayo anayaongea saivi kwakua hana cha kupoteza ni sawa na majuto yaliyo katika kitabu cha hayalt mkapa.
 
Yeye kama hana cha kupoteza na watoto wake hawana cha kupoteza? hao ambao hawaongei wana nini cha kupoteza?
ASA watoto wao unawasikia wanaongea nini,pia wao tayari wako kwenye system hivyo mfumo hauwezi kuwafanya chochote ni untouble sio kama Mimi.
 
Watoto wa Sumaye, Lowassa, Mwinyi hawapo kwenye system? mbona wao hawaongei?
Ndo nakwambia hata yeye anaongea hayo kwakua tayari hana cha kupoteza,sina imani alipokua waziri mkuu alikua anayaishi hayo anayoyaongea Leo.Au alipokua jaji mkuu alikua akitenda haki kwenye hukumu zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…