Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Elewa kiswahili mbona hao wazee wengine hawaongei na wakati watoto wao wapo kwenye system tayari?Ndo nakwambia hata yeye anaongea hayo kwakua tayari hana cha kupoteza,sina imani alipokua waziri mkuu alikua anayaishi hayo anayoyaongea Leo.Au alipokua jaji mkuu alikua akitenda haki kwenye hukumu zake.
Pia zaidi zaidi ukiwapa nafasi kubwa wananchi ndo wawe watoa kero zao moja kwa moja,ndo hapo utasikia Mara Mimi nimebakwa,kesi iko mahakamani anataka rais aingilie kati,Mimi Jana nimelala njaa,n.k
UVCCM acha matusi, tetea hojaAcha ujinga na ungwini! Kiongozi hawezi kudodosa maana huo muda hana. Au unataka akae pahala ili aanze kusample scientifically wananchi etc kwa vyoyote vile hiyo itakuwa ni biased study. Hukunielewa kijana
Mzee Warioba ameshauri kupunguza muda wakuwapa viongozi waandamizi kuwasemea wananchi na badala yake mgeni rasmi awasikilize wananchi.
Pili amesema utambulisho unapewa nafasi kubwa kuliko hamu ya wananchi kutoa kero zao kwa mgeni rasmi.
Kwa kifupi mikutano ya Kiserikali imekuwa kama ya kampeni