Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa sababu makundi hayo pia yanapitia changamoto lukuki!
Chanzo: Azam TV
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa sababu makundi hayo pia yanapitia changamoto lukuki!
Chanzo: Azam TV