mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namkubali sana Mzee Kigogo Warioba ,hana Mbambamba.Waziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa sababu makundi hayo pia yanapitia changamoto lukuki!
Chanzo: Azam TV
Wote wanalalamika lakini hawataki kutoka ndani ya CCM
Praise power team ndio mmeifikisha hapa nchi yaani bila uchawa kwa mwenyekiti wenu kula kwako ni tabu'UVCCM wa simiyu wale wameonyesha tu kuwa ndicho kinachoendelea kwenye chaguzi zenu zote.halafu uniambie kuna jitu lenye uchungu na nchi kutatua matatizo ya wajinga!!JK alishawaambia hoja hujibiwa kw hoja na sio vitisho.Yaani ujinga wa wadanganyika ndio mtaji wenu hilo ndilo mshukuru munguAnaejitambua ndio ana mwandiko Kama wako??
Empty set