Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Itapress bas keshoMwambieni uyo mzee alime nanasi na mihogo vinalipa
Hopeless kabisa
Nchi hii ina waananchi wasiojielewa kabisa,japo bashiru naye ndio wale wale tu lakini ana hoja cha ajabu baada ya kutoa hayo maoni yake kuwasemea wakulima na ni kitu kilicho wazi kuwa kuna shida.Kuna chama cha wakulima huko Ntwara wamekuja juu mno kuwa anatumika wao hawana shida kabisa na awamu ya tano!!cha ajabu ni mwezi huu huu walikuwa wanagomea kuuza korosho kwenye mnada wakisema kuwa bei ni ndogo.!!sasa hawa una watetea vipi?!!Kutetea jitu lisilojitambua ni ngumu sanaMwambieni uyo mzee alime nanasi na mihogo vinalipa
Hopeless kabisa
Anaejitambua ndio ana mwandiko Kama wako??Nchi hii ina waananchi wasiojielewa kabisa,japo bashiru naye ndio wale wale tu lakini ana hoja cha ajabu baada ya kutoa hayo maoni yake kuwasemea wakulima na ni kitu kilicho wazi kuwa kuna shida.Kuna chama cha wakulima huko Ntwara wamekuja juu mno kuwa anatumika wao hawana shida kabisa na awamu ya tano!!cha ajabu ni mwezi huu huu walikuwa wanagomea kuuza korosho kwenye mnada wakisema kuwa bei ni ndogo.!!sasa hawa una watetea vipi?!!Kutetea jitu lisilojitambua ni ngumu sana
TayariItapress bas kesho
Ajabu iliyo kuu!Siasa za ccm za hovyo sana
Vijana wale chawa wanapambana na Dr Bashiru badala ya kupambana na hoja ya Dr Bashiru
Wamshukie kama mwewe na huyu piaWaziri Mkuu Mstaafu mzee Sinde Warioba ameunga mkono hoja ya matatizo ya Wakulima na ameitaka Serikali isikwepe wajibu wake wa kuwatimizia matakwa yao na isipumbazwe na kundi la wapiga masifu ya hovyo.
Vilevile mzee Warioba ameitaka Serikali kushughulikia tatizo la Wafugaji na Machinga kwa sababu makundi hayo pia yanapitia changamoto lukuki!
Chanzo: Azam TV
NEC ipo chini yake kwani kuna tatizo?Mwacheni Samia aendelee kukenua kenua meno akiwasiliza kina kibajaji!
Hapa nchini kundi kama la wamachinga ni kwenda nalo taratibu, ajira hamna, wape uhuru wafanye vibiashara vyao kwa wepesi katika humo wapo watakao jikwamua na kutoka kwenye kundi la umachinga!
Tumwache awndelee kuwakumbutia mabwanyenye kikinuka atajuta
HakikaNB: Bashiru sio Ndugai
Uhopeless wake ni nini?.Au nyie ndo wajinga mliokaa uko serikalini hamtaki watu waseme maujinga yaliyopo nchi hii.huu sio muda wakuimba mapambio kwa watawala yasiyo na uhalisia.Mwambieni uyo mzee alime nanasi na mihogo vinalipa
Hopeless kabisa