Mimi nilishasema siku nyingi. Ipigwe kura ya maoni, ili muungano uendelee iwe lazima upate simple majority both sides.
Mawaziri wasiwe wabunge pesa za Mawaziri za wabunge zitatoka wapi.
Ukitaka kujua hayo kwa undani ukifikia nusu ya marupurupu na posho anazopata waziri kutokana na Ubunge na uwaziri (anatwanga kotekote) utazimia wewe manake naona huna kifua cha kufunuliwa hayo!
What kind of an opinion is this? Plastic brains!
nipe asili ya ziwa TanganyikaNeno nyika linamanisha fukwe/pwani/coast halafu Tanga=matanga vile vyombo vya asili vya majini mfano wa mashua, kwa hiyo enzi za biashara kati ya afrika mashariki na Asia katika bahari ya hindi matanga mengi yalitia nanga katika nyika ya mkoa wa Tanga. Kwa hiyo asili ya Jina Tanganyika ni huko mkoani Tanga na si Kigoma!!
Naunga mkono serikali tatu Na huo muungano sioni faida zake uvunjwe tu
Huu ni mfano wa mambo yanayoonyesha hali halisi ya upeo wa huyu jamaa yetuNaunga mkono serikali tatu Na huo muungano sioni faida zake uvunjwe tuUnachotaka kueleza hapa nini. Haiwezekani uunge mkono serikali 3 at the same time usitake muungano. Tunaounga mkono serikali 3 tunahitaji muungano, ila tunataka uwe modified kuondoa au kupunguza kero.
Wewe kama huungi mkono muungano basi hii katiba ya Jaji warioba haikuhusu maana ni katiba ya muungano.
Wewe unachotakiwa kudai ni kuvunja muungano na kutaka kila nchi iandae katiba yake kivyake.
Nina mashaka kama unajua nini kinaendelea.
na sisi ambao mbunge wetu ni Mwigulu Nchemba?
Japo naunga mkono serikali 3, lakini Zanzibar itageuka kuwa tawi la Al Qaeda
Sasa muungano ukivunjwa serikali tatu zitatoka wapi ndugu au ndio viroba
Lukosi watu walikuwa wanakubeza kumbe pia ni mzalendo, hapo pia nakuunga mkono. Japo kuwa umerudi ccm labda kwa faida ya biashara zako, lakini bado unaonyesha kuwa una damu ya mageuzi(revolution) ila huja pata chama kinacho kulidhisha. Hata hivyo kwa sasa bado nitasema kuwa unadamu ya cdm, ccm unaiunga mkono ili biashara zako ziende vizuri. Najua baadae utarudi tu.
Japo naunga mkono serikali 3, lakini Zanzibar itageuka kuwa tawi la Al Qaeda
Haya ni mawazo ya mtu mwenye busara sana kutotaka muungano ni kuturudisha nyuma ya mchakato mzima wa katiba mpya ya Jamuhuri ambao sasa unakaribia mwisho wakeUnachotaka kueleza hapa nini. Haiwezekani uunge mkono serikali 3 at the same time usitake muungano. Tunaounga mkono serikali 3 tunahitaji muungano, ila tunataka uwe modified kuondoa au kupunguza kero.
Wewe kama huungi mkono muungano basi hii katiba ya Jaji warioba haikuhusu maana ni katiba ya muungano.
Wewe unachotakiwa kudai ni kuvunja muungano na kutaka kila nchi iandae katiba yake kivyake.
Nina mashaka kama unajua nini kinaendelea.
TafakariJapo naunga mkono serikali 3, lakini Zanzibar itageuka kuwa tawi la Al Qaeda
TANU iliundwa kabla ya uhuru, niambie T katika neno TANU ina maana gani? kabla ya hapo kulikuwa na TAA, je T katika TAA inasimamia nini?Ni jna lililobuniwa haraka haraka nchi ilpo pata madaraka. Kutokupata historia na jiografia kumewaacha vijana wengi kutambua nchi yao. Mdharau kwao mtumwa