masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 784
Naunga mkono serikali tatu Na huo muungano sioni faida zake uvunjwe tu
Sasa kama unapinga muungano hizo serikali 3 zitakuja vipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkono serikali tatu Na huo muungano sioni faida zake uvunjwe tu
Siyo kushutumiwa ni ukweli usiopingika kuwa serikali ya Tanzania ndio hiyo hiyo serikali ya Tanganyika anayebisha aje na ushahidi.
teh teh, hilo ni tusi kwa wazanzibar mkuu...Japo naunga mkono serikali 3, lakini Zanzibar itageuka kuwa tawi la Al Qaeda
teh teh, yatakuwa ni mashindano ya kula kodi za watanzania huko ulaya...Tutakuwa viziri mjini hapa kwa ving'ora vya misafara ya maraisi wa 3.....sasa wakiwa watembezi kama huyu bado watakuwa wanagongana angani
kinachotakiwa hapo ni kufuata maoni ya wengi hata kama wana ccm wote wakipinga serikali tatu bado watakuwa ni wachache kulinganisha na wanaotaka serikali tatu,vinginevyo ni kutoitakia kheri nchi yetuMzee Warioba amesema zipo shutuma kwamba Tanganyika ilijivua na kuvaa koti jipya la muungano ambalo hapana shaka Tanzania bara kuonekana kufaidi matunda ya muungano kuliko Wazanzibari hata kupelekea Tanzania kuonekana ndiyo ile Tanganyika iliyo kufa.
Hali hiyo ndiyo inayofanya ongezeko la kero za muungano.Kwa maneno yake Wazanzibari wanaona ni ujanja tu ulitumika kuinyang'anya mamlaka yake Zanzibar nakisha kuiua kabisa na labda ndiyo chanzo cha hali duni za maisha ya Wazanzibari.
Wangetamani wajiunge na umoja wa nchi kama OIC unaojumuisha nchi za kiislamu hatua ambayo ingebadili kipato chao lakini haiwezekani kwakuwa koti linavaliwa Bara kwa mgongo wa muungano.
amesema tume yake ime angalia options nyingi ili kuondosha Muonekano huo lakini imeshindwa kupata balikurejesha pendekezo la kwenye rasimu ya kwanza la serikali tatu.
Ame chukua muda mrefu hadi kuchosha kuelezea hilo naona baaba ya kuhisi ccm wasinge taka hata kusikia serikali tatu.Kwakweli ameonyesha kuwa Wazanzibari walikuw wanataka kitu kingine siyo serikali mbili tena kitu ambacho ni mwiba kwa ccm.
Na hadhani kama wangetaka serikali moja kwani hiyo ni kuimeza kabisa Zanzibar.amesema zaidi ya 60%ya Watanzania Bara walitaka tatu hali kadhalika huko Zanzibar.
Nakiasi kikubwa Zanzibar walitaka muungano wa mkataba.
Tupo katika takuli kubwa wa kuu hali ndiyo hiyo
indeed!! Misafara ya kuelekea kwa waganga itazidi kuongezeka wallah!Marais 3!!!!!! what a nice chance to become a president one day
jina Tanganyika halitakiwi kwa sababu itaonekana wenye hasili ya nchi hii ni watu wa Kigomahaya mambo yote ya muungano huu ni ujanja ujanja tuu,na baada ya kuimeza znz wakachululiwa watu hao 85 wanaoitwa wabunge na mawazir kuiwakilisha znz, hapa hapahitajiki kugaiwa mafungumafungu mambo ya kupewa znz isipokua umefika wakati wakufuta neno Tanzania na kurejesha Tanganyika bila ya kutafuna maneno.
Turudishe znz ya 63 na Tanganyika ya 61 muda umefika tusizungushane na kutumia pesa nyingi.
Kwa upande wa Znz huu sio mwisho wa kinyamazisha mpk ifike pahali kila taasisi iwe inafanya inachokitaka kwa Uhuru na sio kuigaia kama imekuja kuomba na kuiangukia Tanganyika.
Umeishawahi kaa na wazanzibari mkaongea kuhusu muungano ukasikiliza maoni yao?
Wanataka degree mkuu unayo?Marais 3!!!!!! what a nice chance to become a president one day
Mkuu kwa kifupi mimi binafsi huo muungano siutaki hata kidogo,Duhm kazi kwelikweli! sasa umeongea nini?
Unapounga mkono serikali tatu maana yake unaunga mkono na serikali ya tatu ya Muungano wa shirikisho lenye Tanganyika na Zanzibar.
Halafu unasema muungano huoni faida yake na uvunjwe! Sasa kauli yako ya kwanza inamaanisha nini?
Try to shake your head before use!
Wana imeza inautamu gani mbona sioni cha maana huko?Ni mawazo mazuri sana tatizo CCM wanataka kuimeza zanzibar, kazi kwao kwa wazanzibari wenyewe
jina Tanganyika halitakiwi kwa sababu itaonekana wenye hasili ya nchi hii ni watu wa Kigoma
nyinyi jifunzeni ugaidina sisi ambao mbunge wetu ni Mwigulu Nchemba?