Wanajf
Tunaweza kujionea tuna mtoa mada wa Namna gani.
1. Amempa mimba binti wa watu, afu hana tena mpango nae.KAMTELEKEZA
2. Kaingia kwenye mahusiano na mwanamke aliezalishwa na mwanaume mwingine na KUTELEKEZWA.
Anamkula tu burebure, afu Anasema hataki wala hana mpango wa kuoa Single mother.
Anasahau hapo kwenye 1 yeye mwenyewe keshazalisha na KATELEKEZA binti wa watu tayar.
Mtoa mada ni mchafuzi na Hafai ktk jamii yoyote iliyostaarabika[emoji3525]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.