Warumi apata Danga jf

Pm's ziwakuwaje exposed?..kila aliyetongozwa humu JF akiweka screenshot patatosha kweli humu
Mambo! Hii komenti imenivutia! Ww km ni mkaka jua nishakuzimikia hapa! Zaidi ya warumi alivyopendwa huko pm! Mie hapa hapa tuyajenge!
 
hahaha yani kuna mtu kakupenda kabisa wewe ,kesho katoe sadaka kanisani
 
Usikute aliyekutongoza ivyo ni chizi mwenzio
 
Iyo pm imenidhalilisha Sana nikiwa Kama mwanamume. By the way inaonekana umekuwa excited Sana kutpngozwa pm maana ilikuwa Haina haja ya huko kuyaleta huku. Hivi wanawake wote wa JF wangeleta ya pm hadharani inhekuwaje?

Umejuaje warumi ni mwanamke?

Mtakuja kutongoza vidume wenzenu humu...🤣🤣🤣[emoji23][emoji23]
 
Wanaonekana Tayari Wapo Stage Ya
Maendeleo Hayana Chama Fanya Kazi [emoji4][emoji849][emoji3][emoji23][emoji16][emoji28][emoji100][emoji100][emoji100][emoji165][emoji876]

Ahsante🤣🤣🤣🤣🤣
 
Warumi hebu mfikirie mwenzio moyo ushaangukia kwako...yani kakupenda hivyo hivyo na umbea wako [emoji28][emoji28][emoji38]

Kanipenda na umbea wangu huu huu, anatak niwe nampa umbea usiku🤣🤣, patakalika kweli sasa
 
Duh nimecheka mpka machozi asee!
Shikamoo warumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…