Warumi apata Danga jf

Pm's ziwakuwaje exposed?..kila aliyetongozwa humu JF akiweka screenshot patatosha kweli humu
Malaya katongozwa.
Maskini akipata mat.a.k.o hulia mbwata.
Kutongoza ovyo ovyo tutakuja kutongoza hadi vicha kwa kweli.
 
Umejuaje warumi ni mwanamke?

Mtakuja kutongoza vidume wenzenu humu...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
We acha tu ndio Mana sijawahi kutongoza humu. Kwanza namtongozaje mtu ambae sijawahi kumuona. Yaani unaimgine mtu alivo kuptia avatar[emoji39]
 
Malaya katongozwa.
Maskini akipata mat.a.k.o hulia mbwata.
Kutongoza ovyo ovyo tutakuja kutongoza hadi vicha kwa kweli.

Wanazengo katika siku mliyonipa raha , Leo mmejua kunichekesha na Mimi , yan mbavu sina 🤣🤣🤣🤣🤣, kwa hyo jaman Mimi ni kichaa🤣🤣
 
Wanazengo katika siku mliyonipa raha , Leo mmejua kunichekesha na Mimi , yan mbavu sina [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], kwa hyo jaman Mimi ni kichaa[emoji1787][emoji1787]
Ha ha ha wewe ni kichaa mchambaji team Zari.
 
Huyo jamaa bila shaka ni new comer ..warumi sio mwanamke ni mwanaume ila anapenda udaku wa mastar kiasi cha kwenda hata kulala kwenye misiba yao ila apate udaku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi dinazarde yuko wapi
 
Warumi mtoto mzur njoo pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…