warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Jamani na nyie wanaume mna mioyo ya ajabu, Sasa warumi mie na umbea wote huu kutwa kusutana kucha humu , bado mtu anakuja inbox ananiambia ananizimikia🤣🤣, nyie ndo mnawabaka hadi vichaa mnawapa mimba🤣🤣.
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣
Haya mwanazengo ahsante kwa kunipenda, Ila najua tu we unapenda umbea wangu wala hunipendi mimi 🤣